RE: SERIKALI KUKUSANYA 0.15% Excise Duty on Money Transfers Through Banks

BUBE

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2010
Posts
845
Reaction score
254
Ndugu wadau na wanajamvi. Hii imekaaje? Sheria ya fedha ya mwaka 2013 ina kipengele cha Excise Duty. Baadhi yetu tumetaarifiwa kuwa kuanzia sasa benki zitakuwa zinakusanya 0.15% kama Excise duty kwa hela zote zinazopitia bank. Kitu ambacho hatujafafanuliwa ni je:

  1. Hii Excise Duty inahusu hadi mishahara? Na kama mishahara inahusika si tayari huu utakuwa ni kum-double tax mtu ambaye tayari kalipa PAYEE tayari?
  2. Witthholding tax? Kawaida hii ni 10%. Je hii pia kwa watu wanaotoa huduma kama washauri waelekezi watakatwa pia kiasi hiki wakati tayari wanakatwa hiyo withholding tax?
  3. Fedha zozote pamoja na karo za wanafunzi? Je hii ina maana karo itaongezeka ama mzigo ataubeba mmiliki wa shule?
Kwa mwenye uelewa please tutaarifu

Pia wenye habari zinazohusiana na hizi kuhusu kifungu hiki, ambacho ni applicable tangu mwezi July mwaka huu watujuze

Samahani kwa kuchanganya lugha!
 
Sijakuelewa vizuri mzee labda ungeleta kama ilivyo Copy-paste hiko kifungu tukijadili.

Maana mimi sijasikia hii kitu
 
MKUU ukisoma FInancial Bill ya 2013 aliyosoma Mgimwa, hii kitu haimo, But bank zetu sasa zinakuja na hiyo taarifa - haijulikani kama wao banks wameambiwa kuanza kuwatoza wateja wao kiasi hicho, suala ambalo haliko kwenye Financial Bill, ila mimi bank yangu imenitumia email jana! May be nimeover-react kabla sijawauliza watu wa bank, but I am sure endapo wapo wanajamvi kwenye mabenki wanaotumia internet banking watakuwa wametumiwa the same email. Kwenye bill haipo, lakini bank wameeleza kuwa wanahitaji ku-charge kiasi hicho.
Sijakuelewa vizuri mzee labda ungeleta kama ilivyo Copy-paste hiko kifungu tukijadili.

Maana mimi sijasikia hii kitu
 
Unaweza kutupa japo sehemu kidogo ya hiyo email? Kwakuwa i am a banker myself and I dont know about this.

Unaposema hela zote zinazopitia benki unamaanisha Elecronic funds transfer au hata cash/chq deposits? Maana nimeshindwa kuelewa kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…