Re: Top ten wanamuziki mamilionea bongo 2008

Re: Top ten wanamuziki mamilionea bongo 2008

Hivi ile tarehe ya sikukuu ya wajinga ndio lini tena?
 
ha ha ha ha ile ni trh 1 april... hii kitu iliandikwa 2008 muzee
 
Washazimaliza naona wengine wako juu ya vigogo....
 
izo data ni uongo mtupu Jide alikuwa na 500 million 2008!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! wizi mtupu
 
Back
Top Bottom