Wambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2011 Posts 558 Reaction score 324 Mar 6, 2012 #1 Kny link ifuatayo hapa chini ni wanamuziki mamilionea bongo mwaka 2008 kutoka katika blogu ya kaka Michuzi Anaongoza Lady Jay dee Mil. 500 na wa kumi ni Mwana FA Mil. 50 duuu MICHUZI: wasanii mamilionea wa bongo
Kny link ifuatayo hapa chini ni wanamuziki mamilionea bongo mwaka 2008 kutoka katika blogu ya kaka Michuzi Anaongoza Lady Jay dee Mil. 500 na wa kumi ni Mwana FA Mil. 50 duuu MICHUZI: wasanii mamilionea wa bongo
Ndallo JF-Expert Member Joined Oct 1, 2010 Posts 7,619 Reaction score 4,299 Mar 6, 2012 #2 Hivi ile tarehe ya sikukuu ya wajinga ndio lini tena?
Wambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2011 Posts 558 Reaction score 324 Mar 6, 2012 Thread starter #3 ha ha ha ha ile ni trh 1 april... hii kitu iliandikwa 2008 muzee
Asabaya JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 1,310 Reaction score 416 Mar 6, 2012 #4 Washazimaliza naona wengine wako juu ya vigogo....
B Bayo Senior Member Joined Jul 2, 2009 Posts 195 Reaction score 34 Mar 6, 2012 #5 izo data ni uongo mtupu Jide alikuwa na 500 million 2008!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! wizi mtupu
izo data ni uongo mtupu Jide alikuwa na 500 million 2008!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! wizi mtupu