Wakuu habari,
nawaombeeni ushauri kati ya kubadilisha injin ya gari na kufanya overall ipi bora,maana kuna fundi alinishauri nifanye overall na mwingine akashauri ni bora kubadilisha injin ndo unakuwa na uhakika coz overall spare cku hizi nyingi famba,
swali langu je hizi used injin zina ubora kweli? na bei yake kama mtu anaweza kujua.gari ni rav4 old model.