May you explain thered in extra? Please, help me to understand this .....!
Jamani sio lazima kila mtu akubaliane na unachosema au unachoamini ndicho!!Alafu wala sijaona wakibisha..kuna point wameziainisha kuhusu post yako ila we hulioni hilo kwasababu ulitegemea kila mtu akwambie 'BIG UP' tu mtu akitoa mawazo unachukulia kaponda!Nwyz binafsi hua siwezi kabisa kumwambia mtu nahitaji msaada wake.Kitu kidogo tu naweza kufikiria siku nzima niombe au nisiombe!Nianze vipi n.k!Bila shaka, ila nawasikitikia zaidi WAO kuliko mimi kufa moyo.
Jamani sio lazima kila mtu akubaliane na unachosema au unachoamini ndicho!!Alafu wala sijaona wakibisha..kuna point wameziainisha kuhusu post yako ila we hulioni hilo kwasababu ulitegemea kila mtu akwambie 'BIG UP' tu mtu akitoa mawazo unachukulia kaponda!Nwyz binafsi hua siwezi kabisa kumwambia mtu nahitaji msaada wake.Kitu kidogo tu naweza kufikiria siku nzima niombe au nisiombe!Nianze vipi n.k!
ni kweli hasa pale tunapotumia neno nakupenda ambapo sipoyou have my vote, if you contest to be among great thinkers,
mara nyingi unamsaidia mtu lakini na wewe mwenyewe unahitaji msaada , na mara nyingi tunatumia neno nakupenda, samahani wakati halitoki moyoni, tunakosea sana inabidi tujirekebishe,
tofauti na wenzetu watu weupe wakisema i love you, ni kutoka moyoni
Kama nilivyosema..humsomi mtu ukaelewa unarukia kusema umejadiliwa!!Mshkaji anaongelea hapo kwenye ugumu wa kumwambia mtu samahani..unampenda and what not!Kwamba kama mtu hamaanishi ni bora akae kimya kuliko kudanganya!Sasa sijui ulipojadiliwa ni wapi!I'm out!Upi sio ukweli?? Then tuandikie ukweli basi!
Kama nilivyosema..humsomi mtu ukaelewa unarukia kusema umejadiliwa!!Mshkaji anaongelea hapo kwenye ugumu wa kumwambia mtu samahani..unampenda and what not!Kwamba kama mtu hamaanishi ni bora akae kimya kuliko kudanganya!Sasa sijui ulipojadiliwa ni wapi! I'm out!