Read Please!!!!!

Read Please!!!!!

  • Thread starter Thread starter JS
  • Start date Start date

JS

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2009
Posts
2,064
Reaction score
504
Marafiki zangu wote wa JF wakwapi??? Mie nimeboreka kweli leo sina raha niko tuu na thread za leo yani hazijanichangamsha kama inavyokuwaga. Sijui 2010 ndo imeanza hivi kwa JF??? Where is the spirit people we had in 2009????

"I REALLY MISS YOU PEOPLE."

Thanks.
With love,

woow!
sounds good
...MCHANGO WANGU WA HARUSI lini?😀
 
woow!
sounds good
...MCHANGO WANGU WA HARUSI lini?😀

Mwone sura yake unacheka wakati unanidai mshiko!!!!!
mshahara ujao ambao itakuwa tarehe za mwisho wa januari itakuwa mbali kaka yangu????
 
haina shaka!for JS I CAN WAIT
 
hahahahaha!
hatoki mtu hapa

Jamani G si unaona hali ya uchumi lakini ilivyokaa eeeee???

Halafu nikushikie hapohapo mtu akikupa 20k utamnyima card ya harusi??na hata ukimpa utamlimit asije na mtu mwingine???maana kuna hako katabia kanaendelea siku hizi tena hapa dsm zaidi mtu kaomba mchango anapewa 20k mwisho wa siku aliyempa mchango huo hapewi card.......hapa narefer harusi ambazo zishapita
 
Y?..kwamba huo mchango ni mdogo ama...
 
Y?..kwamba huo mchango ni mdogo ama...
..well!
ni mipangilio ya baadhi ya kamati!with me,all wapwaaz,mabinamu,marafiki na kila mtu anaruhusiwa kutoa any amount substantial,lakini kuingia lazima!
 
Y?..kwamba huo mchango ni mdogo ama...

Eti ni mdogo kutokana na amount ambayo hao wanakamati wanakuwa wameshapanga. lakini most harusiz minimum ni 50k. less than that mmh mmh haungii
 
..well!
ni mipangilio ya baadhi ya kamati!with me,all wapwaaz,mabinamu,marafiki na kila mtu anaruhusiwa kutoa any amount substantial,lakini kuingia lazima!

sawa kabisa luv, uwezo haulingani bwana, anaetoa 5, 10 nk wote wamejitolea....
 
.........yaaaah!na kikubwa kabisa kwangu ni kwamba I NEED YOU GUYS TO BE THERE FOR ME!hasa hasa kwa send-off najua wengi mtakuwepo wale wa dar!.....

iringa najua ni wachache wameconfirm kwenda
 
haruc iringa? hope fidel atakuwa mstari wa mbele kukupa tafu, well, as i told u me ctaweza kushiriki kabisa, lakini kimchango tupo pa1 luv.
 
thanks!.........i mean SENKSI

yaah!harusi ni iringa.na wafuatao wamethibitisha kuunguruma mpaka unyaluni:

X-PIN
NEXT-LEVEL
FIDEL

nawakaribisha saaana wakuu wooote!
 
Eti ni mdogo kutokana na amount ambayo hao wanakamati wanakuwa wameshapanga. lakini most harusiz minimum ni 50k. less than that mmh mmh haungii

Mhh,

Kima cha chini cha mshahara wa mfanyakazi hapa Bongo si ni 150K? Halafu anatumia 1/3 kwa harusi moja? Labda kama watu wote wa Dar wako kwenye payroll ya RA vinginevyo hakuna anayestahili kutokuwa kwenye "new list of shame".
 
thanks!.........i mean SENKSI

yaah!harusi ni iringa.na wafuatao wamethibitisha kuunguruma mpaka unyaluni:

X-PIN
NEXT-LEVEL
FIDEL

nawakaribisha saaana wakuu wooote!

mhh naona mpaka sasa ni wakaka tu ndio wamethibitisha, sie wengine tukitoka home ni maelezo kibao labda iwe kikazi...loo hapo juu mnafanya ku2aga tu....
 
.........yaaaah!na kikubwa kabisa kwangu ni kwamba i need you guys to be there for me!hasa hasa kwa send-off najua wengi mtakuwepo wale wa dar!.....

iringa najua ni wachache wameconfirm kwenda
tuktuk haifiki iringa?
 
ni tarehe ngaapi? na ni ukumbi gani Iringa?
 
mhh naona mpaka sasa ni wakaka tu ndio wamethibitisha, sie wengine tukitoka home ni maelezo kibao labda iwe kikazi...loo hapo juu mnafanya ku2aga tu....
yaaaaaaaaaaaaaaah!!!
i will need one lady to come over
najua JS anaweza kuja tu akipangilia!yeye hana some serious commitments za kijamii
 
Back
Top Bottom