woow!Marafiki zangu wote wa JF wakwapi??? Mie nimeboreka kweli leo sina raha niko tuu na thread za leo yani hazijanichangamsha kama inavyokuwaga. Sijui 2010 ndo imeanza hivi kwa JF??? Where is the spirit people we had in 2009????
"I REALLY MISS YOU PEOPLE."
Thanks.
With love,
JS
woow!
sounds good
...MCHANGO WANGU WA HARUSI lini?😀
haina shaka!for JS I CAN WAITMwone sura yake unacheka wakati unanidai mshiko!!!!!
mshahara ujao ambao itakuwa tarehe za mwisho wa januari itakuwa mbali kaka yangu????
hahahahaha!eeeh hakuna atakaeponyoka kwnye huo mchango walaahh...lol
hahahahaha!
hatoki mtu hapa
Jamani G si unaona hali ya uchumi lakini ilivyokaa eeeee???
Halafu nikushikie hapohapo mtu akikupa 20k utamnyima card ya harusi??na hata ukimpa utamlimit asije na mtu mwingine???maana kuna hako katabia kanaendelea siku hizi tena hapa dsm zaidi mtu kaomba mchango anapewa 20k mwisho wa siku aliyempa mchango huo hapewi card.......hapa narefer harusi ambazo zishapita
..well!Y?..kwamba huo mchango ni mdogo ama...
..well!
ni mipangilio ya baadhi ya kamati!with me,all wapwaaz,mabinamu,marafiki na kila mtu anaruhusiwa kutoa any amount substantial,lakini kuingia lazima!
.........yaaaah!na kikubwa kabisa kwangu ni kwamba I NEED YOU GUYS TO BE THERE FOR ME!hasa hasa kwa send-off najua wengi mtakuwepo wale wa dar!.....sawa kabisa luv, uwezo haulingani bwana, anaetoa 5, 10 nk wote wamejitolea....
.........yaaaah!na kikubwa kabisa kwangu ni kwamba I NEED YOU GUYS TO BE THERE FOR ME!hasa hasa kwa send-off najua wengi mtakuwepo wale wa dar!.....
iringa najua ni wachache wameconfirm kwenda
thanks!.........i mean SENKSIharuc iringa? hope fidel atakuwa mstari wa mbele kukupa tafu, well, as i told u me ctaweza kushiriki kabisa, lakini kimchango tupo pa1 luv.
Eti ni mdogo kutokana na amount ambayo hao wanakamati wanakuwa wameshapanga. lakini most harusiz minimum ni 50k. less than that mmh mmh haungii
thanks!.........i mean SENKSI
yaah!harusi ni iringa.na wafuatao wamethibitisha kuunguruma mpaka unyaluni:
X-PIN
NEXT-LEVEL
FIDEL
nawakaribisha saaana wakuu wooote!
tuktuk haifiki iringa?.........yaaaah!na kikubwa kabisa kwangu ni kwamba i need you guys to be there for me!hasa hasa kwa send-off najua wengi mtakuwepo wale wa dar!.....
iringa najua ni wachache wameconfirm kwenda
yaaaaaaaaaaaaaaah!!!mhh naona mpaka sasa ni wakaka tu ndio wamethibitisha, sie wengine tukitoka home ni maelezo kibao labda iwe kikazi...loo hapo juu mnafanya ku2aga tu....
tar 13/02/2010ni tarehe ngaapi? na ni ukumbi gani Iringa?