Read Please!!!!!

  • Thread starter Thread starter JS
  • Start date Start date
.........yaaaah!na kikubwa kabisa kwangu ni kwamba I NEED YOU GUYS TO BE THERE FOR ME!hasa hasa kwa send-off najua wengi mtakuwepo wale wa dar!.....

iringa najua ni wachache wameconfirm kwenda

We will be there for you G.
Ila send off si kunakuwaga na limit pia ya watu wanaomsindikiza bwana harusi au???

ANGALIZO:
USILE TUNDA LA KATIKATI MPAKA SIKU YA NDOA KUANZIA LEO (unalipumzisha na upate kulimiss pia) NA KAMA HUJALIGUSA KABISA KABISA KABISA, NI VIZURI ZAIDI ila wewe sidhani kama utakuwa hujagusa mmmmh
 
yaaaaaaaaaaaaaaah!!!
i will need one lady to come over
najua JS anaweza kuja tu akipangilia!yeye hana some serious commitments za kijamii

Ni kujipanga tu naeza kuja huko bila tabu ndo raha ya kuwa "free free"
 
KWENYE HIYO black-kadi kwa ajili ya watu wangu,i mean marafiki woote zitakuwepo sana tu

kwenye hiyo red dah!-uongo dhambi mama,tunda mimi nimeshakula.....!hahahahah(hawa wanaume woote watanigongea senksi including invisible)

lakini ushauri wa kulipumzisha nimeupokea kama ulivyo
 
labda sio G nimjuae....kala kitambo.
 
Ni kujipanga tu naeza kuja huko bila tabu ndo raha ya kuwa "free free"
ni swala la muda tu!
let's take ningekuwa sijaonana na dada ake x-pin halafu nkakuona wewe mimi ningekuchukua jumla jumla(ningekuwowa)

...subiri nitakapoanza projekti ya second waifu!nikikuta uko free free NAMALIZANA NA WEWE!....(utani bwana)
 
thanks!.........i mean SENKSI

yaah!harusi ni iringa.na wafuatao wamethibitisha kuunguruma mpaka unyaluni:

X-PIN
NEXT-LEVEL
FIDEL

nawakaribisha saaana wakuu wooote!

Pamoja sana.....homu boi........! Kama nivo kunong'oneza kule ''room'', tabidi logistics za waendaji zipangwe mapema sana......kuavoid last minute rushes na kuzima mioto kwa Petrol!
 
ni swala la muda tu!
let's take ningekuwa sijaonana na dada ake x-pin halafu nkakuona wewe mimi ningekuchukua jumla jumla(ningekuwowa)

...subiri nitakapoanza projekti ya second waifu!nikikuta uko free free NAMALIZANA NA WEWE!....(utani bwana)

Second waifu nile makombo? wala sitaki na mie nataka vitu fresh mwenzio!!!!
 
Pamoja sana.....homu boi........! Kama nivo kunong'oneza kule ''room'', tabidi logistics za waendaji zipangwe mapema sana......kuavoid last minute rushes na kuzima mioto kwa Petrol!
fact!.....
got you bwana mkubwa
 
so,,

JS ametumiss,
I miss you too,,
 
Yaani Goeff anakaba mpaka tunashindwa kuhema
halafu na wewe naona umekaa kimya tu!
mimi wapwaaz mkunitosa sitawaelewa unajua?!...naona kimyaaaaaaa wakati unaona zimebaki siku 39
 
Yaani Goeff anakaba mpaka tunashindwa kuhema

sasa hv ana mchecheto kweli ya kuvuta huduma karibu, nampa miaka yake 2-3 tu mcheche wote kwishney....btw na wewe utahudhuria sendof/haruc....
 
so,,

JS ametumiss,
I miss you too,,

Tena I miss you more
Nikunong'oneze Kaizer, Hivi mtu akikumiss pia unamgongea senksi ama?
 
halafu na wewe naona umekaa kimya tu!
mimi wapwaaz mkunitosa sitawaelewa unajua?!...naona kimyaaaaaaa wakati unaona zimebaki siku 39

uwiii cna mbavu, bht mckilize kijana jamani....anahesabu tu cku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…