Read Please!!!!!

  • Thread starter Thread starter JS
  • Start date Start date
halafu na wewe naona umekaa kimya tu!
mimi wapwaaz mkunitosa sitawaelewa unajua?!...naona kimyaaaaaaa wakati unaona zimebaki siku 39

nani akutose mpwa mimi simekueleza msimamo wangu hata kwa kuwa 'wedding crasher' ntakusapoti hahaaaaa!!!
 
Tena I miss you more
Nikunong'oneze Kaizer, Hivi mtu akikumiss pia unamgongea senksi ama?
umekula senksi nyingine kwa namna unavyonong'ona!punguza sauti kiduchu mama!.....
 
nani akutose mpwa mimi simekueleza msimamo wangu hata kwa kuwa 'wedding crasher' ntakusapoti hahaaaaa!!!
hhahahahaha!
wwewewe naona unakimbia majukumu!hahahaha
 
uwiii cna mbavu, bht mckilize kijana jamani....anahesabu tu cku.
[/COLOR]
umeonaaaa eeeeeh khaa jameni twafaa!!! kuoa atake yeye sis tubanwe mbavu loh!!!

BTW mimi harusi ndo itahusu.....na wewe pande ipi sasa???
 
halafu na wewe naona umekaa kimya tu!
mimi wapwaaz mkunitosa sitawaelewa unajua?!...naona kimyaaaaaaa wakati unaona zimebaki siku 39

Ha!ha!hahaaaa...naona homu boi una nata na beat...kama mzee wa mapiano na mavirungu.......sijui unaenda na 1/2 au 3/4......Kaizer advise beat anayoendanayo jamaa......!
 
Ha!ha!hahaaaa...naona homu boi una nata na beat...kama mzee wa mapiano na mavirungu.......sijui unaenda na 1/2 au 3/4......Kaizer advise beat anayoendanayo jamaa......!
hahahahahaha!
tena anataka kunitosa huyu...
 
nani akutose mpwa mimi simekueleza msimamo wangu hata kwa kuwa 'wedding crasher' ntakusapoti hahaaaaa!!!

bht, please can u organize all ladies around here? I will organize the other side and then we have to meet to deliberate on this IMPORTANT issue!

sawa B? mambo lakini?
 
bht, please can u organize all ladies around here? I will organize the other side and then we have to meet to deliberate on this IMPORTANT issue!

sawa B? mambo lakini?
hahahaha!
naona wapwaaz weeengi sasa hivi wanaingia kama guests wanaogopa mchango!hahahahahahah

wapi x-pin
wapi nguli
wapi fidel80

hahahaha!mtaniua kwa kucheka
simu zenu ninazo
I WILL CALL YOU GUYS
 
Naona wapwaaz weeengi sasa hivi wanaingia kama guests wanaogopa mchango!hahahahahahah

wapi x-pin
wapi nguli
wapi fidel80

hahahaha!mtaniua kwa kucheka
simu zenu ninazo
i will call you guys
mpwazzz toa akaunti namba kusimplifai mambo haswa kwa wapwazzzz wa mikoani.
 
mpwazzz toa akaunti namba kusimplifai mambo haswa kwa wapwazzzz wa mikoani.​

kwa atakaetaka nitam-piemu!mbona wapwaaz kibao wameshaniona mpwaa?

ukiweka akaunti namba hapa ''wataongea''.........​
 
umeonaaaa eeeeeh khaa jameni twafaa!!! kuoa atake yeye sis tubanwe mbavu loh!!!

BTW mimi harusi ndo itahusu.....na wewe pande ipi sasa???

nackitika kwamba ctaweza kuhudhuria kabisa, majukumu mami na sie wengine ndio kama hivyo tena huwezi kujiendea tu kila mahali.
 
BIHECHITII najua mwaka huu hatuumalizi lazima wakuchukue jumla jumla,
sasa usiponichangia...........!hahahaha.UNATENGANISHA UKOO
 
]BIHECHITII[/COLOR] najua mwaka huu hatuumalizi lazima wakuchukue jumla jumla,
sasa usiponichangia...........!hahahaha.UNATENGANISHA UKOO

ndio nni jamani wengine shazeeka...bht?
 
nackitika kwamba ctaweza kuhudhuria kabisa, majukumu mami na sie wengine ndio kama hivyo tena huwezi kujiendea tu kila mahali.

Ngoja niangalia uwezekano wa kulegeza masharti LOL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…