Real deal

Joined
Aug 12, 2012
Posts
4
Reaction score
0
Kama unatafuta story au script writer mwenye uwezo wa kuteka hisia na kuleta msisimuko katika filamu/tamthilia/video/tv show/ yako kwa kupangilia matukio na wachezaji,nipo sasa kufanya mapinduzi katika movie za kibongo na maandalizi yote ya Screen play.Tuwasiliane...........Thanks.
 
Unajitambulisha au unatangaza kazi ila umekosea jukwaa
 
Umeingia choo cha kike? Karibu JF.
 
Kama unajitambulisha karibu sana, kama ni kujitangaza kuna jukwaa la matangazo.
 
karibu....elekea chumba cha pili hapo ndio kinakuhusu..
 
Karibu sana.........:A S kiss::A S-frusty2::lock1::violin:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…