Real entrepreneur from Tanzania akiwa Nigeria kwa mkutano

Huyo ni entrepreneur Allen Kimambo, mmoja wa wawakilishi wa Tanzania kwenye mkutano wa wajasiriamali wa Africa.
 
Biashara yake inatusaidia nn sisi,
Bora Ontario ametusaidia watanzania. Hao wengine wanaroho mbaya.hawataki hata kusaidia wengine.watusue tuwe wengi...
Inawasaidia kwakuwa yeye analipa kodi na hizo kodi ndio mnalipwa mishahara pamoja na kununua madawa hospitalini
 
Hebu ekeni hata wasifu wake hapa maana hata hatumjui
 
Biashara yake inatusaidia nn sisi,
Bora Ontario ametusaidia watanzania. Hao wengine wanaroho mbaya.hawataki hata kusaidia wengine.watusue tuwe wengi...

Mjasiriamali wa kweli anaye inspire vijana wengine hapa Bongo ni ONTARIO tu.

Hebu ficheni upumbavu wenu,

Wajasiliamali wote sio lazima wafanane,

Yaani mnabeza mafanikio ya huyu mtu kuhudhuria mkutano mkubwa kama ule really?

Namheshimu sana Ontorio lakini sio kigezo cha kutoona umuhimu wa wajasiliamali wengine,

Lazima tuwe na fikra pevu kumbukeni kwa anachokifanya ontorio lazima awa-inspire kwanza vijana ili afanye nao kazi.
 
"Zungumza kama unhisi maneno yako yatakuwa bora kuliko kubaki kimya." Mo Dewj, Bakhresa, GSM, Manji, etc are not an entrepreneurs who helps many people?
Watu aliowaajiri Bakhresa na aliowasaidia Ontario wepi ni wengi?

Kusaidia kupo kwa namna nyingi na kila mmoja ana wajibu wake!
 
Watanzania bana MTU wamemuona tu kideoni watuuuu povuuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…