Zamazamani
JF-Expert Member
- Jun 13, 2008
- 1,869
- 787
Jamani....penye wengi hapakosi mengi....mimi kupitia kampuni yangu inayohusika na mambo ya Real estate natafuta mwekezaji ambaye ninaweza kumkodisha ardhi kwa muda mrefu (long term lease), akaiendeleza kwa makubaliano maalum..
Actually nina plots saba tofauti i.e Kigamboni near Bamba Beach , Tabata Segerea, Mbweni JKT (beach plots) na Tegeta Wazo Hill
Size za plots zina vary between 1500 - 3500sqm....
Tupeane mawazo wadau.........
Mkuu hapo Bamba beach is it a cost plot yaani imepakana na bahari?
I was once there bana and the place is so cool.
okay..hapana tabu.....simply piga hesabu ya 15m-20m......
yes ni bei ya kununua mkuu