D dignasia New Member Joined Jun 14, 2013 Posts 2 Reaction score 0 Mar 14, 2015 #1 Hivi jamani bei ya nyumba zinazouzwa na real estate agencies Tanzania zinaendana na kipato cha mtanzania?
Hivi jamani bei ya nyumba zinazouzwa na real estate agencies Tanzania zinaendana na kipato cha mtanzania?
Horseshoe Arch JF-Expert Member Joined Aug 10, 2009 Posts 13,403 Reaction score 12,775 Mar 14, 2015 #2 Kwani zilitengenezwa kwa kuangalia kipato cha Mtanzania?
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,092 Reaction score 53,496 Mar 14, 2015 #3 dignasia said: Hivi jamani bei ya nyumba zinazouzwa na real estate agencies Tanzania zinaendana na kipato cha mtanzania? Click to expand... Kipato cha mtanzania ni kipi?
dignasia said: Hivi jamani bei ya nyumba zinazouzwa na real estate agencies Tanzania zinaendana na kipato cha mtanzania? Click to expand... Kipato cha mtanzania ni kipi?