real estate market in Tanzania

Game Theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2006
Posts
8,546
Reaction score
855
Hivi how can i get information about the properties and real estate market in Tanzania yenye kuelezea issues kama:

- the legal situation. Save? / medium?

- the building prices

- Rental prices in DAR for private houses and apartments

- Construction prices

- land prices in and around DAR

Mfano kupata info on land prices is easy lakini sijaona institution au organization au private market research company.

Anyone?
 
rupia realtors or something in upanga, other wise most of us are still in the dalali era dear!
 
rupia realtors or something in upanga, other wise most of us are still in the dalali era dear!

mhhh lakini wale sidhani kama watakuwa na private reserch company kwenye sekta hiyo

anyway thanks for your reply
 

Proin ni ya fisadi LUKAZA na ilishafungwa siku nyingi...! Hawa ndio waliopewa masharti ya kurudisha hela za EPA hadi tarehe 30 October 2008


Wasiliana na Mimi kama unataka kufanya biashara ya Real Estate (investment). just PM me...!
 
wasiliana na chuo kikuu ardhi. utapata kila kitu pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…