Real estate ni nini?

Real estate ni nini?

Solarpanel

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2012
Posts
235
Reaction score
38
Habari wanajamvi,nimewahi kulisikia mara nyingi hili neno,ila sikulipa umakini wowote,ila leo ningependa kujua kila kitu khs maana ya real estate na kila kitu kinachohusu real estate.
Kwa idea yangu finyu nimegundua tu kuwa ni mali yaani asset ya ardhi,ambayo majengo yanauzwa kununliwa na kukodishwa.sasa je ni mtu binafsi anamiliki?ukishauza inakuwaje tena yako?nk je nikiwa na karobo heka changu nikajenga hapo ka nyumba changu cha kuishi,cha wapangaji na frame je hiyo ni real estate?iwapo tu nimetengeneza title deed?
 
Nadhani mh. Edward Ngoyai Lowassa anajua zaidi ni nn maana ya Real Estate.
Manake yeye ndo ana hisa kubwa zaidi ya mtanzania yeyote kwenye hiyo makitu, yaani kawazidi hata hao jamaa wa TBA na NHC
 
Nadhani mh. Edward Ngoyai Lowassa anajua zaidi ni nn maana ya Real Estate.
Manake yeye ndo ana hisa kubwa zaidi ya mtanzania yeyote kwenye hiyo makitu, yaani kawazidi hata hao jamaa wa TBA na NHC

fafanua
 
Real Estate ni ardhi pamoja na majengo, mazao, madini au mali asili yoyote iliyopo kwenye hio ardhi kwenye hio ardhi (yaani vitu visivyohamishika)

Sasa tukija kwenye umiliki wa hii ardhi kila nchi ina sheria zake kwa Tanzania umiliki wa hii ardhi ni lease ya muda mrefu (sina uhakika ni kama miaka 30) ila kama hakuna construction fulani kubwa ya serikali unaweza ukawa una-renew hio lease kila baada ya huo muda husika, na hata kama serikali wakitaka kujenga kitu fulani itabidi wakulipe gharama ya chochote kilichopo hapo, kwahio kama unayo Title Deed basi hio ardhi ni yako na kama hayo majengo mmeingia partnership na mwingine amejenga mtakuwa mmekubaliana kwenye mkataba ni nani ana asilimia ngapi ya nini.., pia ukishauza sio yako tena ni ya yule aliyenunua sababu hata hio Title Deed itabadilishwa jina kwenda kwa mnunuzi
 
Back
Top Bottom