Habari wanajamvi,nimewahi kulisikia mara nyingi hili neno,ila sikulipa umakini wowote,ila leo ningependa kujua kila kitu khs maana ya real estate na kila kitu kinachohusu real estate.
Kwa idea yangu finyu nimegundua tu kuwa ni mali yaani asset ya ardhi,ambayo majengo yanauzwa kununliwa na kukodishwa.sasa je ni mtu binafsi anamiliki?ukishauza inakuwaje tena yako?nk je nikiwa na karobo heka changu nikajenga hapo ka nyumba changu cha kuishi,cha wapangaji na frame je hiyo ni real estate?iwapo tu nimetengeneza title deed?