H HAMY-D JF-Expert Member Joined Sep 18, 2011 Posts 7,149 Reaction score 3,825 Sep 18, 2011 #1 Wana jamii kwa yeyote mwenye taarifa kuhusu kazi za real estate specialists hapa Tanzania anisaidie hizo taarifa.
Wana jamii kwa yeyote mwenye taarifa kuhusu kazi za real estate specialists hapa Tanzania anisaidie hizo taarifa.
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,058 Reaction score 2,195 Sep 18, 2011 #2 Hyo ni coz nzuri sana lakn soko lake kwa hapa tz naona kama bado halijapamba moto,ila unaweza kuulzia ktk shirika la nyumba la taifa{NHC}kwa msaada zaidi.
Hyo ni coz nzuri sana lakn soko lake kwa hapa tz naona kama bado halijapamba moto,ila unaweza kuulzia ktk shirika la nyumba la taifa{NHC}kwa msaada zaidi.
H HAMY-D JF-Expert Member Joined Sep 18, 2011 Posts 7,149 Reaction score 3,825 Sep 18, 2011 Thread starter #3 Nashukuru kwa msaada.......ngoja nilifanyie kazi ilo.