If wikipedia is to be taken serious then let`s do some maths.
Hawa watu hawajui hesabu..kazi mdomo tuIf wikipedia is to be taken serious then let`s do some maths.
Tz GDP 2019 = $60n
Tz GDP growth rate= 7.2%
Kenya GDP 2019=$ 99n
Kenya GDP growth rate= 59%
Tz growth
7.2/100 * 60=$ 4.32n
This shows that Tz economy will only grow by $4.32n
Kenya growth
5.9/100* 99= $ 5.9n
This shows that Kenya`s economy will grow by $5.9n
Now my question is, unaona dalili ya tz kupita kenya kweli?
Mungu wangu. Umeanza kupika data wazi wazi kabisa.If wikipedia is to be taken serious then let`s do some maths.
Tz GDP 2019 = $60n
Tz GDP growth rate= 7.2%
Kenya GDP 2019=$ 99n
Kenya GDP growth rate= 59%
Tz growth
7.2/100 * 60=$ 4.32n
This shows that Tz economy will only grow by $4.32n
Kenya growth
5.9/100* 99= $ 5.9n
This shows that Kenya`s economy will grow by $5.9n
Now my question is, unaona dalili ya tz kupita kenya kweli?
Libya ni kama imerogwa. Yaani inachapa growth rate ya 17%.
Umeona hiyo GDP yenu ya 2017 hapo post #24?, hiyo ndio GDP yenu halisi, hiyo ya %90B mnaijua ninyi tu.Libya ni kama imerogwa. Yaani inachapa growth rate ya 17%.
Hawa jamaa kwa kupika data hawajambo. Yaani 2017 GDP 74.94 growth rate 4.9% sawa na 3billion ghafla bin vuu inaruka kwenda 90BUmeona hiyo GDP yenu ya 2017 hapo post #24?, hiyo ndio GDP yenu halisi, hiyo ya %90B mnaijua ninyi tu.
Kwani sisi tz tunataka kumpita marekani!!!!!!Wakati mwingine hizi figure hatuzielewi kuzitafsiri. U SA akiwa na GDP growth ya 2.9% wakati GDP yake ni 19 trilioni ( Mara 3380 ya GDP ya Tanzania) wakati Tanzania INA GDP growth rate ya7% , hivi unaweza ukapiga hesabu itachukua miaka elfu ngapi tumfikie Marekani. Tujiulize maswali magumu kabla ya kushangilia .Au ndio kijifariji?
i mean`t 5.9%Mungu wangu. Umeanza kupika data wazi wazi kabisa.
Yaani growth rate 59%
Are you stupid or something!?
Tuko 2019 and our GDP is $98b with a growth rate of 5.8%.Facts about kenya
View attachment 1248126
So kwa akili yako unaona ni kama bado tuko 2017?Umeona hiyo GDP yenu ya 2017 hapo post #24?, hiyo ndio GDP yenu halisi, hiyo ya %90B mnaijua ninyi tu.
Pwahahahaha!!! Naona umeanza kuwa mnyoooonge sana. Nasubiri ile Account yako nyingine unayotumia kuanzisha threads za comparison kati ya TPDF na KDF.