K king ndeshi Senior Member Joined Oct 31, 2010 Posts 135 Reaction score 7 Apr 22, 2012 #1 kocha Mou ameweza kumbamiza pep guadiola 2-1 katika awanja wa camp nou, christiano Ronaldo akitupia Wavu wa pili kwa goli safi la mguu wa kulia,na kutanua wigo wa point toka 4 MPAKA 7.
kocha Mou ameweza kumbamiza pep guadiola 2-1 katika awanja wa camp nou, christiano Ronaldo akitupia Wavu wa pili kwa goli safi la mguu wa kulia,na kutanua wigo wa point toka 4 MPAKA 7.