Real Madrid inaandika historia ya kutwaa mataji mengi ya UEFA Super Cup (mara 6)

Real Madrid inaandika historia ya kutwaa mataji mengi ya UEFA Super Cup (mara 6)

anoldmedia

Member
Joined
Aug 14, 2024
Posts
18
Reaction score
27
𝗥𝗘𝗖𝗢𝗥𝗗: Real Madrid inaandika historia ya kuwa klabu ya kwanza kutwaa mataji mengi ya UEFA Super Cup (mara 6)

Real Madrid imetwaa kombe la UEFA Super Cup kwa mara ya sita kufuatia ushindi wa 2-0 dhidi ya Mabingwa watetezi wa Europa League, Atalanta katika dimba la PGE Narodowy mjini Warsaw, Poland.

FT: Real Madrid 2-0 Atalanta
⚽ Valverde 59’
⚽ Mbappé 68’

Soma Pia: Full Time: Real Madrid 2-0 Atalanta | UEFA Super Cup | Poland National Stadium | 14.08.2024
20240815_075223.jpg
20240815_075226.jpg
 
Hawa jamaa siwezi kuwashangaa maana hata uwekezaji wao mkubwa kwenye timu ni kwa ajili ya uefa tu maana ligi yao inajulikana miaka yote ni kupokezana wao na barcelona
 
Back
Top Bottom