π₯πππ’π₯π: Real Madrid inaandika historia ya kuwa klabu ya kwanza kutwaa mataji mengi ya UEFA Super Cup (mara 6)
Real Madrid imetwaa kombe la UEFA Super Cup kwa mara ya sita kufuatia ushindi wa 2-0 dhidi ya Mabingwa watetezi wa Europa League, Atalanta katika dimba la PGE Narodowy mjini Warsaw, Poland.
Hawa jamaa siwezi kuwashangaa maana hata uwekezaji wao mkubwa kwenye timu ni kwa ajili ya uefa tu maana ligi yao inajulikana miaka yote ni kupokezana wao na barcelona