Real Madrid hit nine, yes nine goals against Granada to move within one point of the league leaders Barcelona. What a performance from Los Blancos.
Messi ana goli ngap na Ronaldo ngapi??
Huyu Gaya Si m-baya, especially for a back-up
Messi ana goli ngap na Ronaldo ngapi??
Leo nimefurahi sana kwa kiwango kilichoonyeshwa haswa kule mbele...leo bale kafanya yale ambayo alifanya msimu uliopita yakushirikiana na wenzake..kiufup wamecheza vzr..nimeridhika kwa kiwango kile