Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Tchouameni Nje kuikosa fainali hii maana yake Babu modric na babu kroos wataanza kwakweli mjiandae kwa kipigo kitakatifu
 
jana nilikua natazama docoumentary ya UEFA nimeshanga sana kusikia nacho akisema ana Diabetic type 1 toka akiwa na umri wa miaka kumi na moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…