Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Yupo kwenye handaki kama Ayatollah vileNyumbu Carasco Putin kajikausha kama sio yeye aloliwa vitano na watoto wa simeone.
πππππππBado mechi 34 tuwe mabingwa
Eti nini?Sijaona wa kutuzuia halla Madrid los blancos forever π³π³π³
Acha uongoMbappe akicheza na Bellingham hafurahii kabisa jamaa anakaba nafasi zake
Sure mzee uyu Bell akikaa namba 10 Mbappe anastrugle sana halishwi pasi nzuri kama anavyomfanyia GulerAcha uongo