Real Madrid mwisho wake leo! Mechi inatarajiwa kuanza saa 21:45

DesertStorm

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2015
Posts
3,131
Reaction score
2,537
Poleni sana ma-fans wa madrid kwa goli 2 mlizopata last week kutoka kwa mkoloni,so mchezo ndivyo ulivyo, hakuna kitu kisichokua na mwisho, nina mengi ya kuwashauri lakini sina muda kwa sasa...nawatakia mchana mwema
 
vuuuuuu napita tu wajameni
 
We kama si mchawi basi uzeeni utakuwa mchawi
 
Poleni sana ma-fans wa madrid kwa goli 2 mlizopata last week kutoka kwa mkoloni,so mchezo ndivyo ulivyo, hakuna kitu kisichokua na mwisho, nina mengi ya kuwashauri lakini sina muda kwa sasa...nawatakia mchana mwema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…