Real Madrid Richest Club

Mchaga

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
1,378
Reaction score
206
Real surge ahead

€m
1 1 Real Madrid 401.4
2 3 Barcelona 365.9
3 2 Manchester United 327.0
4 4 Bayern Munich 289.5
5 6 Arsenal 263.0
6 5 Chelsea 242.3
7 8 Liverpool 217.0
8 Juventus 203.2
9 Internazionale 196.5
10 7 Milan 196.5
11 Hamburg 146.7
12 9 Roma 146.4
13 Lyon 139.6
14 Marseille 133.2
15 Tottenham Hotspur 132.7
16 Schalke 124.5
17 Werder Bremen 114.7
18 Borussia Dortmund 103.5
19 Manchester City 102.2
20 Newcastle United 101.0
Source: Deloitte Football Money League 2010
 
Yaani Man City na mbwembwe zote hizi kumbe wapo nafasi ya 19.,itawachukua muda kidogo kufika juu maana inaonekana mmiliki wa timu ndiye mwenye hela lakini timu yenyewe imefulia kimtindo...mmh naota kuwa kwenye hii list kuna siku tutawaona Yanga na Simba pia..
 
Tanzania sasa...

1. Azam FC
2. ......................
3. .....................
4. .....................
Endeleza wewe hii list!!
 
Tanzania sasa...

1. Azam FC
2. ......................
3. .....................
4. .....................
Endeleza wewe hii list!!
1.YANGA AFRICANS
2.SIMBA SPORTS CLUB
3.AFRICAN LYON
4.Azam FC
5 Manyema FC
..Ila kwa ufupi Bongo hatuna sehemu yenye kuonesha record za Club gani ipo juu ki-vitega uchumi kuliko mwenzake.
 
Hvi hapo juu ni Madeni ndo yanaicost MAN UTD au? Mana Club ilikuwa ipo safi with a clean sheet no debt na faida kila msimu..sijui hii familia ya Glazer inataka kutupeleka wapi?!
 
Tanzania timu tajiri inapimwa kutoka na viingilio vya mlangoni kwa hiyo kwa mwaka huu Simba ndio wanaongoza kwa kuingiza watu wengi kwenye mechi zao
 
Simba iko juu kwa wakati huu kwa kigezo cha nani anaingiza mashabiki wengi!
 
Hvi hapo juu ni Madeni ndo yanaicost MAN UTD au? Mana Club ilikuwa ipo safi with a clean sheet no debt na faida kila msimu..sijui hii familia ya Glazer inataka kutupeleka wapi?!

I disagree na sentensi yako kuwa ManU ilikuwa safi with a clean sheet.....!Kila timu ina a serviced debt ambayo ipo within the limits ya vitabu vyake.Endapo itazidi ndio ndio unasikia mambo kama ya Pompey.Hata Chelsea yenyewe kama siyo Abramovich ku-write off some money wangekuwa kwenye mkumbo huu huu wa kudaiwa pesa nyingi.He financed the deal from his own pocket na siyo kutumia pesa za banks.Try to research zaidi kwenye haya!Nothing personal tho.
 
Housta ebu chek hapo kwenye Bolded and enlarged

 
Manchester United says debts have fallen
...Hii imetoka jana tu kwa wawekezaji..

Manchester United has reported a small reduction in the club's debt burden at the end of last year.

The football club said its gross debt was £507.5m in the three months at the end of 2009, compared with £538.1m in the same period the year before.

Pre-tax profits for the quarter were £6.9m compared with a loss of £2.7m in the same period in 2008.

But the club's parent company, the Glazer-controlled Red Football, said in January that overall debt was £716.5m.

In addition to the club's half-billion pound debts outlined in the latest accounts, Red Football is still saddled with more than £200m of high-interest loans from three US hedge funds charging an interest rate of 14.25% per annum.


The "Red Knights" group consists of Goldman Sachs economist Jim O'Neill, lawyer Mark Rawlinson and financier Keith Harris.

Green and gold

US sports tycoon Malcolm Glazer took over the club for £800m in 2005.

But his reign has been controversial, with many fans opposed to the huge levels of debt that Red Football, the club's holding firm, took on to finance the takeover.

By June last year, the club's debt passed £700m for the first time.

Many fans wore green and gold - the colours of Newton Heath before it was renamed Manchester United in 1902 - at Sunday's Carling Cup final, which the defending champions won.

In January, Manchester United successfully raised £504m through a bond issue, meaning the Premier League club will be able to pay off nearly all their outstanding debts.

The club faces an annual interest bill of £45m a year on the bonds.

Revenue in the last three months of 2009 rose to £87m, from £74.4m in 2008.

Manchester United's cash balance stands at £122.1m, up from £8.6m.

There was increased income generated from matchday revenues and its TV rights, particularly from the elite Champions League competition.

Media revenues rose 33% to £53.4m.
...Source ni BBC news
 
Tanzania timu tajiri inapimwa kutoka na viingilio vya mlangoni kwa hiyo kwa mwaka huu Simba ndio wanaongoza kwa kuingiza watu wengi kwenye mechi zao

Ingekuwa simba ni klabu tajiri basi wangepaka chokaa jengo lao...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…