engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,149
- 1,441
Yeah nakuunga mkono ingawaje timu yangu ni Man u,lakini mtiti wa bacca kwa sasa ni noma hakuna wa kumkaba pale,mesi ndio kabisa hashikikialways cc ni mabingwa hao madrid watabaki kuwa uchochoro.
Yeah nakuunga mkono ingawaje timu yangu ni Man u,lakini mtiti wa bacca kwa sasa ni noma hakuna wa kumkaba pale,mesi ndio kabisa hashikiki
ila kwa upande wa man u kazi tunayo kwani wale vijana wa FC Schalke 04 kiukweli wana kamuwa soka,labda siku hiyo wawe na mchecheto la sivyo man u tunaweza kuaga kwa madogo
ki ujumla naisubiri kwa hamu hiyo siku mungu atupe jamani
always cc ni mabingwa hao madrid watabaki kuwa uchochoro.
Schalke 04 hawakuchukua kombe hilo '97, waliolibeba ni Borrusia Dotmund baada ya kumpiga Juventus Turin bao 3 katika fainali.nani kakuambia shalke 04 ni madogo wakati nao wamechukua hilo cup mwaka 97 kwa hiyo subrini kichapo ka cha inter 7 on aggregate
Tusubiri tuone, maana mashabiki wengi wanamuangalia Mourinho badala ya kuzungumzia ubora wa Madrid. Madrid ni timu bora kwa sasa, wako strong sana hawahitaji kujihami kama ndo mbinu ya kuishinda Barca kwa hiyo tunataraji kuona free flowing football kwa pande zotekimtazamo tu morinho ni special one afu mzee wakuaribu jumamosi anawapa ligi kwa droo afu champion mnachapa mwendo msifikiri zile 5 ndo mmemaliza we subiri....
Mimi naogopa hata kucheza kamali kwa timu yangu ya man,kwani wale vijana wanatisha kwa kweli na sina imani kama Ferdnandi atacheza kwani hata mechi ya juzi alikuwa akichenjeguwaMimi ni RM, lakini nakubali Barca ni kiboko lakini mara hii tumeshasema, tutapigana mpaka tone la mwisho. Kwanza tuna kisasi cha 5mtungi walichotuchapa msimu uliopita. Na msisahau Schalke kuna damu ya Real Madrid kule, N0º7-Raul González, kwa hiyi Man U watalala tu. Tusubiri tuone.
always cc ni mabingwa hao madrid watabaki kuwa uchochoro.
Kwa kweli mpaka msimu huu uishe hapo May/June tutakua tumepata burudani ya kipekee...Elclassico takribani 4 zimebaki kwa kipindi cha mwezi mmoja ..sidhani kama imeshawahi kutokea hii..huu ni mwezi wa mavuno kwa industry ya kamari ulaya hususan Spain.... but as usual Mourinho doesnt dissapoint ikifika katika stage kama hizi.....RM all the way to final CL ..ligi tutawaachia ..na kombe la mfalme hatuliachi..kama kuna mtu anabisha ajitokeze hadharani tuweke dau,,.
kimtazamo tu morinho ni special one afu mzee wakuaribu jumamosi anawapa ligi kwa droo afu champion mnachapa mwendo msifikiri zile 5 ndo mmemaliza we subiri....