[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] yuko church Leo mapema sana Leonafikiri bibi Sky Eclat atakua anampa babu uji uko alipo saa hizi hahaha
Uko sahihi sana na hasa kama unaucheza/umewahi kuucheza. Hao wanaodhani ama kuwa na umri mkubwa au kuangalia mpira tangu Dunia iumbwe ndo kujua mpira hawana nafasi ya kusema neno, ndani yake kachanganya na mapenzi.Kama hujacheza mpira huwezi jua nachokisema.. Mimi sio kushabikia tu, naujua na ninaucheza
Ronaldo mwenyewe aliumia fainali ya mataifa ulaya kwa rafu ya mtu na akatoka akilia ila maisha yaliendelea, hawa liver sijui vipi.Wewe hujacheza mpira mahaba ya kuapia kuwa Liver lazima ashinde ndo yamekufikisha hapo, kwani Sarah ndo mchezaji wa kwanza kuumia katika fainali? Na katika hilo tukio unaona kabisa wote walikuwa wanagombania mpira Ramos akaucheza
Mbona Carvajal naye hakutendewa uungwana?Hata kangekuwepo kamtu kenu mngepigwa tu
Hahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] yuko church Leo mapema sana Leo
Atakuwa ametumwa na jamaa wa Camp Nou.hichi kijamaa kilipania bora wachezaji wote wafunge ila siyo ronaldo.teh teh teh!!! sijui kimevuta bangi ya wapi.
Aitheee na ww leo hujalala?
Huyo Salah sio Malaika ni Mchezaji kama wengine, Rejea kuumia kwa Ronaldo Katika fainali ya Euro mwaka Jana.
Ukiwa uwanjani kuna kuumia sasa kama ulitaka wacheze kama wajawazito bila purukushani umefeli.
Ukiangalia in slow motion utaona kabisa ile ni bahati mbaya na Ramos hakuung'ang'ania mkono wa Salah kama mnavyotaka kuuaminisha umma. Hata wachambuzi wa soka mahiri kabisa ambao wanajua a,b,c,ds za soka wameona na kusema ile haikuwa intentional.
Bahati mbaya tu Ramos ana reputation mbaya ya kuwaminya wenzie kimyakimya. Ila kwa ile ya jana asihukumiwe. Hata ile rafu ya Carjaval unaweza kusema ni makusudi pia.
Madrid bingwa mkuu, mara ya 13 akimpiga Liver 3-1.Uko sahihi sana na hasa kama unaucheza/umewahi kuucheza. Hao wanaodhani ama kuwa na umri mkubwa au kuangalia mpira tangu Dunia iumbwe ndo kujua mpira hawana nafasi ya kusema neno, ndani yake kachanganya na mapenzi.
Ramos alikusudia kufanya UHUNI ule, si yeye wala beki mwingine yeyote aliyeweza kupanda juu kwa dakika zote 30 Mo Salah alizocheza, na yeye alionekana kutota vilivyo, hiyo ilikiwa ni sababu ya kufanya vile, alitupia mkono kumvutia chini, akishajua amefanikiwa anajitoa, amemfanyia hivyo Mane pia.
Carvajal ana tatizo la ankle, alipopiga mpira kwa kisigino na kwa bahati mbaya akaguswa kidogo mguuni, ikawa ankle imetoneshwa, si jeraha jipya.
Ingekuwa beer ningekunywa kwa niaba yake
acha kufananisha Madrid na Kitu cha KipuuziMadrid ni kama CCM tu
πππππ. Akajibinuwa kuuvunja 100%. Aisee. Well, mechi imekwisha. Tujiandae na world cup sasa...Akajibinuwa kuuvunja 100% akiwa na nusu nyingine ya mkono upande mwingine..
OyeeeeeKwa kweli nisingeweza eeeeh
Real Madrid oyeeeeeee
Bado upo?Tusikimbiane mwishoni.