hadi hapo kwa hiari yangu mwenyewe nikiwa na akili timamu,ninakili kuwa timu ya barcelona ni noma!!na hadi kufikia hapa jose mourno akili kuwa hawa jamaa ni mziki mnene.safi sana.mzee mzima kila leo anaumbuka tu!!dawa ya ukimwi ikipatikana ndio madrid nao watapata dawa ya hawa jamaa.