Real Madrid vs Barcelona

Status
Not open for further replies.
Madrid baada ya kufungwa la pili wanachanganyikiwa na kupoteana.
 
Na sub ya huyu kiungo Lassa isipofanyika anaweza pata kadi nyekundu!
 
Kwa mchezo huu na kadi za njano zinavyominika, kuna hatari ya mtu kula nyekundu.
 
Naona sub ya Lassa imekubalika! Sasa bado yule forward Di Maria kwn Mi naona hana sumu. Hapa patachimbika na kwa bao hili la 3 hakika kazi ipo kwa kocha wa Real FC
 
he heee la tatu kafunga nani???????
morinho wanaweza mfukuza
 
Tuendeleeni tu na bia zetu, naona hapa mechi ishaisha tayari. Morinyo naona bado Ana kazi kubwa ya kufanya.
 
Madrid maji yamezidi unga! 1st half hawakuitumia sasa hivi wanalipia
 

Mkuu, ile nduki ni ya Xavi sielewi kwanini linatajwa kama own goal mfungaji akiwa Marcello. Ukiangalia Marcello aliupoteza mwelekeo baada kumbabatiza.
 


Baadae wajameni, narudi uwanjani
 
Last edited by a moderator:
eti real madrid ndo watachukua champions league....
naona morinho kawashindwa barca kabisa
 
Mi mnazi wa gunners huwa najifariji kwa barca kupunguza stress!!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…