Mimi mmoja wao, sikulala na furaha. Ndio mchezo, kufunga na kufungwa, lakinikufungwa kila mara inauma. Ninafikiria kuwacha kushabikia kichwa cha (mwendawazimu) Barca, kama ambavyo niliwakataa Atletico de Madrid miaka ya 90 ambao walikuwa fan wangu. Baada ya kuona wamekuwa pakacha la magoli nikawakimbia. Na hawa RM ninawapa last chance kule Nou Camp wakati wa marudiano. Wakipachikwa tena...nakimbia kwa usalama wa afya yangu, sitaki stress.Wakulala na stress za RM polen sana, wale wa Barca Congrats. JUMAPILI NJEMA
1min: Real Madrid 1 - 0 Barcelona limefungwa na Benzema.
30min: Real Madrid 1 - 1 Barcelona (Alexis Sánchez's equalizer)
42min: Real Madrid 1 - 1 Barcelona
HT: Real Madrid 1 - 1 Barcelona
46min: Real Madrid 1 - 1 Barcelona
50min: Real Madrid 1 - 1 Barcelona
52min: Real Madrid 1 - 2 Barcelona (OG by Marcelo)
65min: Real Madrid 1 - 3 Barcelona (Fabregas)
75min: Real Madrid 1 - 3 Barcelona
87min: Real Madrid 1 - 3 Barcelona
FT: Real Madrid 1 - 3 Barcelona
1min: Real Madrid 1 - 0 Barcelona limefungwa na Benzema.
30min: Real Madrid 1 - 1 Barcelona (Alexis Sánchez's equalizer)
42min: Real Madrid 1 - 1 Barcelona
HT: Real Madrid 1 - 1 Barcelona
46min: Real Madrid 1 - 1 Barcelona
50min: Real Madrid 1 - 1 Barcelona
52min: Real Madrid 1 - 2 Barcelona (OG by Marcelo)
65min: Real Madrid 1 - 3 Barcelona (Fabregas)
75min: Real Madrid 1 - 3 Barcelona
87min: Real Madrid 1 - 3 Barcelona
FT: Real Madrid 1 - 3 Barcelona
Mourinho hajapata dawa ya Barca.Morinyo aanze kubonga upupu wake sasa mwaka jana nyumbani kapigwa sita mwaka huu vi3. Kauli zake mbovu ataziachatu outomatic bila kulazimishwa na mtu bali kwa vitendo