Linganisha real madrid na barcelona ni timu ipi iliyokamilika zaidi? Mpira ni mbinu tu mkuu japokuwa bahati inaweza kusaidia kwa kiasi fulani. Juventus wapo vizuri sana kwenye ulinzi na viungo na wanauwezo wa kutengeneza nafasi na pia wapo vizuri kwenye counter attack sema tu wanapotezaga nafasi nyingi kwenye umaliziajiJuve hawashindi maana kwanza juve wapo strong kwenye defence ila kiungo na foward yao sio nzuri kiviiile...ila madrid wapo vizuri kwenye viungo na foward hivyo probability ya kupata goli wapo ni kubwa..hivyo nampa madrid ushindi
barca wapo vizuri kwenye ushambuliaji ila tatizo lao wanataka kufungia kwenye box tofauti na madrid ambao naona wanaweza hata kukufunga nje ya box pia barca ni wafupi mipira ya juu ni zero tofauti na madrid ambao wanaweza kutumia mipra ya juu japokuwa juve wana mabeki warefu.....ila kwenye mipira kumi ya juu kwa madrid wanaweza kufunga hata goli moja au mbiliLinganisha real madrid na barcelona ni timu ipi iliyokamilika zaidi? Mpira ni mbinu tu mkuu japokuwa bahati inaweza kusaidia kwa kiasi fulani. Juventus wapo vizuri sana kwenye ulinzi na viungo na wanauwezo wa kutengeneza nafasi na pia wapo vizuri kwenye counter attack sema tu wanapotezaga nafasi nyingi kwenye umaliziaji
Mkuu mpira ni mbinu tu, haya wewe umesema kuhusu mapungufu ya barcelona dhidi ya real madrid; je mlipokutana na barcelona mliweza kuwafunga kwa kutumia vigezo hivyo ulivyoanisha?barca wapo vizuri kwenye ushambuliaji ila tatizo lao wanataka kufungia kwenye box tofauti na madrid ambao naona wanaweza hata kukufunga nje ya box pia barca ni wafupi mipira ya juu ni zero tofauti na madrid ambao wanaweza kutumia mipra ya juu japokuwa juve wana mabeki warefu.....ila kwenye mipira kumi ya juu kwa madrid wanaweza kufunga hata goli moja au mbili