Real madrid wajinga........

Suala la kawaida kikombe kuvunjika! Kuna kipindi Nadal alichukua kombe la Wimbledon sijui... siku anafika kwao Spain akaja na kombe lingine9
(not genuine). Alipoulizwa akasema lile lilipata hitilafu so amekuja na lingine angalau awapoze mashabiki wake. Si unajua bingwa kuja mikono mitupu nowmer..
 

real walidhamiria kulivunja hilo kombe, wewe angalia hata uchezaji wao ni wa kivita-vita. Barca oyeeeeh.
 
Last edited by a moderator:
upenzi ni mbaya sana, always unakuwa bias tu, acheni wivu mashabiki wa barca. Madrid watawabamiza mpaka kwenye champions league!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…