Open up moreWakuu
Real Madrid inaonekana njia ya kicheza mtanange wa final uefa
Champions league imeonekana iko wazi kwa sasa je ni sahihi kusema
Hivyo
0-4Wakuu naomba kujuzwa matokeo ya Real Madrid na Granada fc zilitokaje na msimamo ukoje kwa sasa Spain hasa Madrid na Barcelona
Nawatakia j2 njema