Real Madrid yakiona cha moto , yakung'utwa nyumbani 1- 4 na Ajax

Real Madrid yakiona cha moto , yakung'utwa nyumbani 1- 4 na Ajax

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Baada ya kipigo hicho cha kudhalilisha mithili ya mbwa koko aliyekunywa supu ya mgonjwa , Madrid wametolewa rasmi kwenye mashindano hayo

Bila shaka huu ndio mwanzo wa kuanguka kwa utawala wa timu za Laliga kwenye UEFA

Natabiri kocha wao Santiago Solari kutimuliwa
 
Wale Waholanzi wanaupiga mwingi sana...Tangu mechi ya mwanzo kama sio figisu wangeshinda pia ile mechi ila jana wanedhihirisha kuwa siku ile walionewa.
 
Hii zambi inawatafuna timu kubwa zote kunakipindi waliibomoa sana ajex, nakumbuka mpa kina marc ovamans yule alikuwa Arsenal wali lalama sana, sasa jamaa wamerudi upya. hata atletico wako vizuri tupate vionjo vipya kidogo
 
Hili kombe bado lipo Spain...zinabalika timu za kulibeba tu.
 
Hii mm nilitegemea tu Madrid Walikuwa hawana uwezo wa kuwazuia wale madogo
 
Back
Top Bottom