Wale Waholanzi wanaupiga mwingi sana...Tangu mechi ya mwanzo kama sio figisu wangeshinda pia ile mechi ila jana wanedhihirisha kuwa siku ile walionewa.
Hii zambi inawatafuna timu kubwa zote kunakipindi waliibomoa sana ajex, nakumbuka mpa kina marc ovamans yule alikuwa Arsenal wali lalama sana, sasa jamaa wamerudi upya. hata atletico wako vizuri tupate vionjo vipya kidogo