Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,775
- 29,746
Wakuu,
Kuna gari nimevutiwa nayo, na katika kucheki mitandaoni nimewapata jamaa wa REAL MOTOR JAPAN. Sema kutokana na budget kutotosha nataka ni-risk kwa kukwepa "paytrade" charges, Kuna mdau aliewahi kufanya nao Biashara hawa jamaa?? Reliability yao wakoje? Utumaji wa mzigo ukoje? kuwahi au kuchelewa? kubadilishiwa mzigo? n.k.
Na pia nimewaona wengine nao wana jina kama hili lakini wao wanaishia na jr, yaani REAL MOTOR JAPAN Jr., sasa kidogo imenichanganya kuhusu haya majina. Hua naonaga watu (importers) wamebandika stickers za hawa jamaa, kwamba hayo magari wameyatoa huko, so kama kuna any mwana-jf ni mmoja wa hao customers wao please help.
Ahsanteni wakuu