I IshaLubuva JF-Expert Member Joined Dec 4, 2008 Posts 250 Reaction score 11 Aug 8, 2011 #1 Watu wako serious na biashara, Real Madrid wamemsajili mtoto mwenye kipaji cha aina ya Mesi. Habari zaidi bofya kwenye kiunganishi hapo chiniReal Madrid sign seven-year old named Leo - ESPN Soccernet
Watu wako serious na biashara, Real Madrid wamemsajili mtoto mwenye kipaji cha aina ya Mesi. Habari zaidi bofya kwenye kiunganishi hapo chiniReal Madrid sign seven-year old named Leo - ESPN Soccernet
Ozzie JF-Expert Member Joined Oct 9, 2007 Posts 3,217 Reaction score 1,261 Aug 8, 2011 #2 Japo wanalipwa vizuri, lakini hii si tofauti na utumwa. Mtoto wa miaka saba katoa wapi maamuzi ya kusajiliwa. Hizi ni tamaa za pesa za wazazi.
Japo wanalipwa vizuri, lakini hii si tofauti na utumwa. Mtoto wa miaka saba katoa wapi maamuzi ya kusajiliwa. Hizi ni tamaa za pesa za wazazi.