Raha ubahatike kupata vyote kwa wakati mmoja. Mie mume wangu angekua hana pesa sijui kama tungekua na furaha kama tulivyo sasa.
Hmmm wewe Mama Ashrat
. ila hiyo furaha inadumu zaidi maana hatuna maugomvi yanayosababishwa na upungufu wa pesa.
Baba Ashrat, we sema kweli tu bwana. Mapenzi ndio yanatupa furaha, ila hiyo furaha inadumu zaidi maana hatuna maugomvi yanayosababishwa na upungufu wa pesa.
kumbe upungufu wa pesa unasababisha maugomvi eeh... basi kwa wasio na pesa maisha ya mapenzi kwao yatakuwa ni bonge la changamoto
Amina baba Ashrat.Kweli kabisa Mama Ashrat wangu na tuendelee kuomba yeye Mola Manani aendelee kutubariki na kutujaalia penzi letu liendelee kushamiri.
Amina baba Ashrat.
hivi ni kweli wote wawili (i.e, baba/mama ashrat) mko humu, au ni ID tofauti zinatumiwa na mtu mmoja..? kama mko wote, that's a great idea ingawa kwa comments za humu ndani sometimes, inabidi kila upande uwe so understanding.....
Baba Ashrat, we sema kweli tu bwana. Mapenzi ndio yanatupa furaha, ila hiyo furaha inadumu zaidi maana hatuna maugomvi yanayosababishwa na upungufu wa pesa.