Real Vallodolid vs Atretco Madrid huku Atretico akishinda atatangazwa kuwa bingwa

Mtoto wa Nyerere

Senior Member
Joined
May 21, 2021
Posts
129
Reaction score
689
Leo ndio Leo Barcelona na Madrid wanaukosa ubingwa tena baada ya miaka mingi

Gemu bora na nzuri imeanza tuifatilie live hapa.
 
Atletico asiniangushe tu.. Akapigilia msumali wa moto kwenye donda la simba[emoji22]
 
Real Madrid atachomoa hilo goli, issue ni Atleti kazi wanayo, wanaweza achia hilo kombe dkk ya mwisho.
 
Huyu Suarez nilijua atawapa kombe hao jamaa, sipati picha Messi atavyonuna kule Barca ndio maana anataka kuondoka.
 
Atretco ndio timu ya wapi hiyo mkuu?!!!
Kuwa serious basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…