Real Vallodolid vs Atretco Madrid huku Atretico akishinda atatangazwa kuwa bingwa

Njoo ifute comment yako Mana ulisema hawezi kuwa Bingwa na sahiz ameshakuwa Bingwa.
Mbona Kama unamuonea huyo jamaa,

Yeye alisema atletico hawezi kuwa pingwa na si bingwa Kama ulivyoandika.
 
Huyu Suarez nilijua atawapa kombe hao jamaa, sipati picha Messi atavyonuna kule Barca ndio maana anataka kuondoka.

Wala Messi hawezi nuna kwasababu Suarez ni swahiba yake mkubwa na pindi barca walipo mtoa kafara suarez messi aliumia sana mpaka akashindwa kujizui akatema nyongo kwa uongozi kumuachia striker kama yule... ona sasa aibu yao viongozi wa barca kwa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…