Sam is this true? Yaani ndio iweje Sasa? Raila is not a participant...So I would think Uhuru sails through...Why would Maraga need to be bribed? I don’t understand...nieleweshe....
Naona hawakuwa wamefigure out kwamba wanaweza achieve their target through judges intimidation and lack of quoram sasa wakajaribu ku bribe!!!....ilipokata ndio wakaenda hizi zingine kama kuuwa body guard wa DCJ mwilu

inasemekana hizo pesa ziliwekwa na nasa ili kumhonga malaga aitishe korti siku ya mapumziko ila ndo hivyo majaji wenzie wametibua baada ya kutotinga kazini sababu leo ni siku ya mapumziko. NASA WAMENASWA