Realy Estate business brokarage partnership

Realy Estate business brokarage partnership

peterdon192219

New Member
Joined
Sep 5, 2021
Posts
3
Reaction score
3
Habarini za pilika ndugu zangu

Matumaini yangu zote tu wazima, Ndugu zangu nina plan na nia ya Dhati sana kufanya hiyo biashara hapo juu kwa mkoa kama Dodoma ni fastest city. ninataaluma nzuri na uzoefu zaidi ya miaka nane kwenye Globe companies kwa sasa nahitaji kuwa na kampuni ili niweke maarifa kwenye kitu changu. ivyo bhasi ninahitaji serious patner ili tufanye biashara hii kwa pamoja. Ambaye yupo tayari ani PM tupige pesa

Niwatakie mapumziko mema
 
Back
Top Bottom