Reason why USA firms prefer hardworking Kenyans


Kenyans are reputed as hard workers, both at home and anywhere outside there. Our country is small and more than half of it is semi-arid, can not be cultivated, but guess what, we lead the whole of East and Central Africa in just about everything including economically, military, education etc etc
Had we been as lazy as you people, then our country would have been pathetic, because you guys have everything and are never mentioned on anything apart from poverty.
Our country ranks higher in human capital than most in sub-Saharan Africa, this is due to strong education quality and staff training, laying the foundation for building formidable human capital.
 
Soma taarifa kwanza bana. Nigga they are talking about skilled labour! 😎
India and Philippines wana export so much skill worker from Dr's, nurses, IT, aviation to marine, petroleum, teaching even businesses people. Equally unskilled pia wapo ambao ni wengi Kenyans included, wote hao wanaotuma pesa nyumbani. So skilled or no skilled, once your in foreign land wewe unajenga uchumi wa watu wengine, tena you will spend 80% of your income on local economy unless uache kula na ulale barabarani kitu ambacho hakiwezekani.
 
Ajabu kweli Muafrika kushangilia ukaushwaji wa bongo za Kiafrika unaofanywa na nchi za kubeberu. Kwa nini bongo hizo zisibaki Afrika kutatua changamoto nyingi tulizonazo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kila mwaka mamilioni wanakabiana na njaa nchini Kenya. Lkn ona SASA mtu anajisifu kutumikishwa na MAKABAILA na mabeberu.
 
Akili za wakenya bana. Yaani shida kweli, wanapenda kuwasujudia wazungu.
 

Sina muda wa kusoma is and was za myopic dude.

Hiki NDIYO cha KUJIVUNIA KWELI kutumikishwa na MAKABAILA na mabeberu.

Kama nyie ni hard workers, why are you always starving and the welfare of your citizens is not impressing.

Why corruption is at epidemic proportions? MPAKA MP Katika ujumla wao wanahongwa katika sakata la ARDHI.
 
Shame to ignores the fact that your still laying on British cradle since independence. If Jomo where to keep his word and kick out the Brits, you wouldn't be sitting here bragging about work ethics. Without the smooth operator of the British to sale Kenyan goods on EU market, (which some how those are British goods and businesses anyway), Kenya would've been like any other Africa countries scrambling on the little window known as world market.
 

Ahaaa haaa haaa
Hiyo AKILI ya kuelewa brain drain wakenya hawana kabisa.
 
Those are just lame and fake excuses.
Wangekuwa gumzo KAMA uaminifu, kujituma na bidii wanayoionesha Marekani wangeonesha Kenya.
True, wakiwa marekani hawadai mishahara mikubwa, wakija Kenya wanagoma kila Siku wakidai mishahara mikubwa.
 
Ahaaa haaa haaa
Hiyo AKILI ya kuelewa brain drain wakenya hawana kabisa.
Kuna kipindi UK walikuwa wanaiba sana nurses kutoka Africa, na nchi ziliyo pata shida ya kuibiwa ilikuwa Malawi na Zimbabwe. Wakati ule rais wa Malawi alikuwa Mutharika Sr. Jamaa akakasirika Malawi wanatumia pesa yao ya shida kuwasomesha only kuja kupokonywa na nchi tajiri kama UK. He promised kuwafundisha medics wa Malawi kwa elimu ambayo itakuwa useless for UK. Sijuwi huo mpago ukishia wapi lakini yote hiyo was to stop brain drain.
 

Sitegemei usome maana mlivyo wavivu wa kusoma, mnafahamika hamna mliwezalo.
Ranking za Global Human Capital Index 2017 Tanzania mumetupwa mbali sana kwenye 106 wakati Kenya inachezea 78, hiyo inaonyesha mlivyo ovyo hata ndani ya nchi. Na ndio unaona makampuni mengi ya Tanzania yanang'ang'ania Wakenya.
 
Mnapiga kelele bure, mbona mnasahau kuwa omba omba wenu wamejaa mitaa ya Kenya na vijibakuli..."saidia masikini" a feeble looking male calls onto passers by, stretching forth his old plastic bowl.
 

Ahaaa haaa haaa
Ongea hoja ilioko mezani.
Kujiona ufahali kutumikishwa na wazungu, wakati kwenu mmekalia kula RUSHWA na wizi.

Kuna mmoja kakwapua ARDHI ya umma na sakata lake lilivyofika kwa wabunge kawanunua hao wawakilishi.
 
Ahaaa haaa haaa
Ongea hoja ilioko mezani.
Kujiona ufahali kutumikishwa na wazungu, wakati kwenu mmekalia kula RUSHWA na wizi.

Kuna mmoja kakwapua ARDHI ya umma na sakata lake lilivyofika kwa wabunge kawanunua hao wawakilishi.

Hoja iliyopo mezani ni uchapa kazi wa Wakenya ambao umesababisha wanatambulika duniani, na sio kwa wazungu tu, hata hapo kwenu, yaani hadi leo Vodacom wameamua kusubiri dada Mkenya. Kwa kifupi Mkenya akiwa nyumbani au nje, hujituma balaa na ndio maana tunaongoza kiuchumi ukanda wote huu pamoja na kwamba kainchi ketu kadogo na hakana madini, na zaidi ya nusu yake kame tupu.
 
Vipi mnaonaje mkabadilishana na nchi ya Israel?
 
Hawa maembe kutoka kusini waendelee kulala. Wachana na hao, hata hawajui leo ni tarehe ngapi.
 

Ahaaa haaa haaa
Unasifia kujituma Marekani kwa faida ya waMarekani!!? Ngoja tukuache na uzuzu wako.
Duniani kote ni Kenya tu ndiyo wanaojisifia kuwa wachapa kazi hodari nchini Marekani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…