Reason why USA firms prefer hardworking Kenyans

Wewe ongea kuhusu nchi yako.Ama umeshashindwa na mambo ya nchi yako, sasa ukabakia kuongea kuhusu ya wengine. Badala ya kulinganisha Kenya na Germany, tuambie vile Tanzania imeendelea kushinda Kenya, si hivyo ndivyo mnavyopenda kusema.
 
Ukitaka niongee ya Tanzania nitakwambia tumendelea kwa kuwa wamoja, na hatuuwani kutokana na kabila zetu. Kenya imeshidwa kuunganisha nchi.
 
When ever i read this thread in the back of my mind it keeps translating "Why USA prefers slaves from Kenya"

Instead of trying hard to please them "USA" please kenyans DO work hard in your own country, make it better for your kids and grandkids, for starters you can build toilets so that people wouldn't be defecating in plastic bags.

Abolish kiss ass syndrome [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahaaa haaa haaa
Unasifia kujituma Marekani kwa faida ya waMarekani!!? Ngoja tukuache na uzuzu wako.
Duniani kote ni Kenya tu ndiyo wanaojisifia kuwa wachapa kazi hodari nchini Marekani.

Upo sahihi, duni yote Kenya na Wakenya ndio wanakubalika kwa uchapa kazi, liinchi lote lenu hilo umaskini na uzembe tu, mnakataliwa hata na makampuni yenu ya wazawa kabisa.
 
Vipi mnaonaje mkabadilishana na nchi ya Israel?

Israel watakua tu katika hali yetu, maana wataishia na nchi kame na kuzungukwa na majirani wazembe.
 
So funny, With $70bn GDP, 45mn Population?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Proud kuongoza Darasa la Vilaza, Deep in shallow water.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi yenye ukubwa wa kilomita za mraba 582,650, na pwani lenye urefu wa kilomita 536 ni 'kanchi kadogo'?
 
Naona wanaongoza waghana hapa Afrika, Nimeona jina la Egypt, Ethiopia, Nigeria, watz wamepanick tu walipoona jina la Kenya. Yaani wanataka kila mtu akatalie huku huku Afrika? Mbona wao wanaongozwa kiakili na mwanamke ambaye yupo huko huko Amerika? Hadi serikali inamuogopa na kumuheshimu sana Mange Kimambi kwasababu yupo 'majuu'. Wanaogopa wazungu sana hawa jamaa. Zero confidence!
 
Upo sahihi, duni yote Kenya na Wakenya ndio wanakubalika kwa uchapa kazi, liinchi lote lenu hilo umaskini na uzembe tu, mnakataliwa hata na makampuni yenu ya wazawa kabisa.

Wachapa kazi kwa faida ya NANI?
The monkey will always choose banana over shs 1'000/-.
Likewise for kenyans who feel proud to work hard in others countries (for a peanut) than working in their own country Kenya.
 
First of all, Malawi is one of the poorest countries in the world. Mtu akikusikia ukiongea anaweza fikiri malawi ni first world country.
 
Wachapa kazi kwa faida ya NANI?
The monkey will always choose banana over shs 1'000/-.
Likewise for kenyans who feel proud to work hard in others countries (for a peanut) than working in their own country Kenya.
Wewe unamaamisha eti Wakenya wanapata pesa kidogo wakiwa Marekani kushinda hapa Afrika? Wachanga upuzi saa zingine. Hapa Afrika hata ukiwa engineer mashuhuri huwezi lipwa zaidi ya dola elfu moja kila mwezi. Hapa Afrika hakuna pesa. Lakini Marekani utalipwa zaidi ya hio dola elfu moja kila mwezi hata kama kazi yako ni kuosha watu wazee mk*ndu. Marekani huwezi enda kisha ukarudi Afrika ukiwa masikini, pengine ukiwa mlevi au mtu wa gambling ndio utapoteza pesa yote lakini Wakenya wengi wanatuma pesa nyumbani na kununua mashamba na kujenga majumba.
 
Hivi unajua mtu wa kufagia fagia tu huko Marekani analipwa pesa nyingi kushinda Lecturer wa university hapo Tanzania. Endelea kusherehekea small salaries yenye mnapata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…