Reason why USA firms prefer hardworking Kenyans

This is one of those capitalistic propagandas. If Kenyans are such hard working people that the US firms prefer them how come Indians, Arabs and Somalis own more than 20 pct of your economy? theeastafrican.co.ke, central bank of Kenya, Bloomberg? You can write a longer thread and it'll be shite if it comes from the east African.
 
Wachapa kazi kwa faida ya NANI?
The monkey will always choose banana over shs 1'000/-.
Likewise for kenyans who feel proud to work hard in others countries (for a peanut) than working in their own country Kenya.

Wachapa kazi kwa faida ya nchi yetu
- Waliopo ndani wamefanya makubwa na kuizidi nchi yenu kwa mbali
- Waliopo nje wanaongoza ukanda huu kwa diaspora remittances, sio kama nyie wazamiaji mnaobeba mabox huko nje hamna chochote mnarejesha kwenye nchi.
 

Because we have an open policy, sio wa kufungiwa ndani kwa majungu kama nyie, tunaruhusu kila mtu aje na kuwekeza, hata Wachagga wamejaa huku wanafanya makubwa.
 
Hivi unajua mtu wa kufagia fagia tu huko Marekani analipwa pesa nyingi kushinda Lecturer wa university hapo Tanzania. Endelea kusherehekea small salaries yenye mnapata
We unajifanya hamnazo, hivi hiyo mishahara mikubwa unaongelea kwa exchange rate au kwa kusustain maisha yake, so kwa akili yako ya kiutuuzima unafananisha na cost of living ya hapo kwenu Kenya na ya USA, kule rent ni kama mshahara wako wote wa mwezi, kuna bills nyingi mno, hiyo unayoona high salary kwa huyo citizen kwake ni barely enough.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tusidanganyane ndugu yangu. Marekani unapoenda huko halafu ukataka kuishi kama wao basi utaumia. Huwezi enda huko halafu akaamua kununua gari, fridge, ukaanza kulipa mortgage kisha ufikiri kuwa utabakisha pesa ya kutuma nyumbani. Ukiwa huko ni sharti ukumbuke kuwa uko kwenye nchi ya wenyewe na lazima ubane matumizi yako ili uweze kujenga nyumba nyumbani na kuwasomesha ndugu na dada zako.
 
So utakuwa unaishi kwenye homeless shelters

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi yenye ukubwa wa kilomita za mraba 582,650, na pwani lenye urefu wa kilomita 536 ni 'kanchi kadogo'?

Itabidi uziunganishe Kenya, Rwanda, Uganda ndio zitoshane na Tanzania.
Kenya, zaidi ya nusu yake kame tupu lakini ndio inaongoza ukanda wote kiuchumi, tusingekua watu wa kujituma hii haingewezekana.
Tanzania ambayo ni kubwa kiasi cha hadi uunganishe nchi zote hizo ndio zitoshane nayo, actually Tanzania ni muungano wa nchi mbili, ina madini, gesi, vivutio bora vya utalii zaidi ya nchi zote Afrika, ardhi yenye rotuba kila mahali na mengine mengi lakini ndio maskini balaa, yaani ukanda wote huu Tanzania ndio nchi inaongoza kwa raia wake kuwa omba omba kwa nchi majirani

 
So utakuwa unaishi kwenye homeless shelters

Sent using Jamii Forums mobile app
La hasha, kumbuka unaweza fanya kazi mbili au tatu kwa siku. Kazi moja itakuwa inakupea mshahara wa kutosha kulipa rent na kununua chakula.Kazi ya pili na ya tatu inaweza kuwa savings. Unasema rent ni pesa nyingi, nimekuambia usiende kwa wenyewe ukataka kuishi kama wao, utaumia. Tafuta chumba kimoja yaani single room kwa motel na hio ni bei nafuu. Mahali kama new york nenda kaishi mahali masikini wenzako wanaishi.Unaweza panda metro au train ikakuleta hadi downtown unapofanya kazi. Metro ni bei nafuu.Makosa ni wewe kujifanya unataka kuishi maisha ya watu middle class kama tuseme queens new york, hutaweza.
 
ALTENATIVELY, you can live here and work yo ass to achieve the same level of success, oh wait, you prefer slavery instead, working 3 jobs in foreign country to sustain your life, while you can use your brain here and work 9 to 5 and achieve the same goals

Sent using Jamii Forums mobile app
 
No way. Mtu akiwa Afrika inamchukuwa miaka zaidi ya kumi ya kufanya kazi ya 9 to 5 ili anunue shamba na ajenge nyumba na pia awasomeshe ndugu na dada zake. Huko Marekani inachukua miaka tatu au nne na mtu anakua ameshajipanga kimaisha. Jambo lingine, hapa Afrika unapopigwa kalamu kupata kazi nyingine ni balaa sana. Marekani kazi ni nyingi kushinda wasakaji. Watoto wa 16 years wanafanya kazi. Illegal immigrants wanafanya kazi. Watu wengi wa mkono wana kazi mbili ama tatu na inalipa vizuri. Kama nilivyosema awali, mbona usifanye kazi ya kijungujiko Marekani kwa miaka minne tu kisha urudi Afrika na kuishi maisha bila tabu. Infact unaweza rudi Afrika na ukawaajiri hawa wanaopiga domo domo hapa Jf
 
Because we have an open policy, sio wa kufungiwa ndani kwa majungu kama nyie, tunaruhusu kila mtu aje na kuwekeza, hata Wachagga wamejaa huku wanafanya makubwa.
Open policy or laziness? You are the only capitalist country not making serious progress economically. When you feel insecure you ask for the Americans to lend you a shoulder, so pathetic. Just own it, be sad pick yourselves up and move on. Tanzania is giving you nightmares, you'll learn to live with it.
 
Research yako umeifanyia wapi, maana huko foreign countries watu wanarudishwa kwao deile, na hao immigrants hawaishi km unavyosema ww, husikii hata marekani huko wanaolalamikia wageni wananyonya rasilimali zao (chawa), kwanza bima hawana, unaishi ukiomba usije ukapata ugonjwa wowote zaidi ya uchovu, u work 2 to 3 jobs, nobody has time for you or your concerns, sasa hizo jobs zingekuwa unlimited km unavyosema why are there homeless and unemployed citizens

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Research yangu nimeifanya through life experience. Sawa endelea kuamini ulichokaririshwa na CCM eti Tanzania ndio nchi ya asali na maziwa. Ukweli ni kwamba Afrika hakuna pesa. Watu kama 30% ndio wanaenjoy maisha Afrika
 
Hardwork and Tanzanians is one of the best oxymoron I know.
 
Research yangu nimeifanya through life experience. Sawa endelea kuamini ulichokaririshwa na CCM eti Tanzania ndio nchi ya asali na maziwa. Ukweli ni kwamba Afrika hakuna pesa. Watu kama 30% ndio wanaenjoy maisha Afrika
Through life experience? unamaanisha nini kusema hivyo? unaelewa maana ya Research?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…