Reason why USA firms prefer hardworking Kenyans


We are the only capitalist nation within East and Central Africa not listed among the poor LDC countries like you, does that give you some education and food for thought?
 
First of all, Malawi is one of the poorest countries in the world. Mtu akikusikia ukiongea anaweza fikiri malawi ni first world country.
You missed the point, Malawi being poor and uses its hard earn cash to teach theirs doctors and nurse's only to be scooped na nchi tajiri kama UK sio sawa. Who is left to look after poor Malawians?
 
Kweli kabisa, hizo nchi tajiri wameweka mitego ya kimaisha kiasi kwamba atarudisha hiyo pesa yote ya mshahara kwenye mzunguko wa pesa.
 
Hii ni propaganda, unataka kusema wafanyakaz kutoka kenya wanafurika tz pia au vp

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Research yangu nimeifanya through life experience. Sawa endelea kuamini ulichokaririshwa na CCM eti Tanzania ndio nchi ya asali na maziwa. Ukweli ni kwamba Afrika hakuna pesa. Watu kama 30% ndio wanaenjoy maisha Afrika
Life experience yako imefanana na Vasco DaGama, mvumbuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni propaganda, unataka kusema wafanyakaz kutoka kenya wanafurika tz pia au vp

Sent using Jamii Forums mobile app

Makampuni ya Tanzania inawataka sana Wakenya kwa ajili ya uchapa kazi wetu, sema tatizo nyie majungu full balaa, unaona hadi sasa mumeogopa kuruhusu vibali vya kazi mkurungezi mpya wa Vodacom TZ. Huyo mdada Mkenya amewanyima usingizi japo pia Vodacom wamesisitiza lazima iwe yeye tu basi.
 
Afu unajua ww unajisema ni mkenya ila ukiwa kwenu unamchukia huyo mdada kwasababu hajatokea kabila yenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ahaaa haaa haaa
Acha povu BWANA mdogo.
NANI kasema mishahara ya Marekani ni midogo kuliko ya Kenya!!???
Tuliza bichwa ukiwa unasoma post zangu, MAANA siyo za kitoto.

Hoja ilikuwa ni if this spirit of the hardest and most skilled workers in US could be exhibited in home country Kenya. How far would Kenya be!!?? Surprisingly you become proud of being hardest workers in others' country while your Kenya stink toilet corruption, poverty, nepotism, hunger etc.
It's better to remain quite rather than celebrating of being hard workers in others country kama zuzu. Labda you don't have any idea on how your fellow Kenyans contribute to the economy of US. They contribute a lot, while what are getting out of it is very minimal like mules.
 
Wachapa kazi kwa faida ya nchi yetu
- Waliopo ndani wamefanya makubwa na kuizidi nchi yenu kwa mbali
- Waliopo nje wanaongoza ukanda huu kwa diaspora remittances, sio kama nyie wazamiaji mnaobeba mabox huko nje hamna chochote mnarejesha kwenye nchi.

Ahaaa haaa haaa
You must be insane.
Hapo penye bold, Ningekuelewa ungesema walio ndani wamefanya makubwa kuliko mipango na malengo tuliojiwekea kwa mbaali.
Vinginevyo you are dumb.
 
You missed the point, Malawi being poor and uses its hard earn cash to teach theirs doctors and nurse's only to be scooped na nchi tajiri kama UK sio sawa. Who is left to look after poor Malawians?

Ahaaa haaa haaa
To Kenyans, the concept of brain drain is not clicking on their heads.
 
Ahaaa haaa haaa
To Kenyans, the concept of brain drain is not clicking on their heads.
They chose to be blind when it comes to brain drain. With limited resources at home and corruption getting out of hand, their people are better off abroad than at home.
 
Ahaaa haaa haaa
You must be insane.
Hapo penye bold, Ningekuelewa ungesema walio ndani wamefanya makubwa kuliko mipango na malengo tuliojiwekea kwa mbaali.
Vinginevyo you are dumb.

Cha msingi umeipata point, hao ndio sababu kwanini mumeshindwa kutufikia.
 
We are the only capitalist nation within East and Central Africa not listed among the poor LDC countries like you, does that give you some education and food for thought?
With 44% of your population living below poverty line not being in the list isn't something you should be boasting about. The list has been criticized time and again for its poor source credibility. Another problem with the list is that if you are a capitalistic country, you automatically qualify for middle income which to me seems like a propaganda than something to be taken seriously. You are poor and weak, we both know that. You're hiding behind capitalistic propagandas forged by the Americans. IMF is brainwashing you. Your country can't stand against anyone without help from outside. Nairobi home to over 1 million kiberians ( the rest of the six million coming from Makadara and Co.) can't compete with Dar Metro but you keep lying to yourselves everyday saying Nai is in the same league as Dar. Have you seen Dar? Hehehe, there are no slums in dar. More than 83 percent of people living in dar are middle income ( this disqualify Nai from even being mentioned in the same sentence as Dar ). Americans are struggling with jobs as we are speaking because EU makes automobiles, China makes tech stuffs ( even Apple assembles parts from China ), are you talking about Lupitas Hollywood gig? They have a very strong currency but no jobs that's why Trump is introducing tariffs.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…