Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
Salaam!reasoning,logic na judgement ni vitu vitatu kwenye boksi moja la logic!! Katika vipindi tofauti tumeishuhudia historia ya dunia ikibadilika kutokana na umma?au nyakati (zama) tumesimuliwa kipindi cha enlightment era ndipo kulikuwa na ombwe la wanafalsafa simuongelee mjomba hamis wa tanga ila wapo akina aristotle,socrete na plato hapa ndipo tulijua maadili na demokrasia.
Imekuja kipindi cha modern era wakaja akina yesu muhammad,machaveli, saint agustine,saint peter na akina UN n.k hawa ndiyo wakaja kubomoa misingi ya logic Kwa kupandikiza mawazo mapya ya sheria na dini ambazo kama zimetujengea boksi la fikra japo si kwa ubaya ila imeharibu akili zetu kama binadamu na hasa hawa waloitwa nyani hawana lao katika dunia hii zaidi ya kupinga au kupongeza.
Tujadili points sio muandiko.