Reasons Not To Drink Energy Drinks

Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2007
Posts
18,772
Reaction score
8,939
[h=4]Reasons Not To Drink Energy Drinks[/h]— Dec 10, 2013The next time you are looking for ways to get energy, think about alternative ways before you buy energy drinks. Consuming excess amount of everything is harmful and especially this type of drinks. So instead of solely relying on sugar and caffeine to get you through busy day, take a walk or drink plain water to feel more natural and long-lasting energy.
Side effects If you were not already aware, energy drinks have some extremely serious side effects. Some of the side effects are: agitation, tremors, stomach upset, chest pain, dizziness, seizures, insomnia and even heart attacks. Just because they are easily available and look innocent enough does not mean that they can’t do some serious harm.
Stress and anxiety In fact, one of the most convincing reasons to stop drinking energy drinks is that they can cause increased anxiety and stress. Some energy drinks are actually found to contain more caffeine than it is advertised on their labels. Too much caffeine has been known to cause jitters and the chronic stress, and a racing heart from massive amounts of caffeine is not all that comforting either.
High in sugar Besides providing with artificial energy, these drinks typically contain a lot of sugar. Some drinks are known to have an average of 15 tsp of sugar. Aside from getting the dreaded sugar crash, sugar can leave you dehydrated and, as it is also known, suppress the immune system, increase inflammation, lead to tooth decay and weight gain.
Mood changes If you regularly consume energy drinks, you may want to think carefully your beverage choice. Studies have shown that those who frequently drink the stimulant caffeine have been known to have reduced serotonin levels. This substance is known as the feel good neurotransmitter. A depletion of this hormone has been linked to low mood, anxiety and depression.
 
Energy Drinks Contain Ingredient Extracted From Bull Urine And Semen. A study done by Longhorn Cattle Company, tested some of the top energy drink brands such as Red Bull, monster etc. What they found might leave your stomach in a knot. They found that the drinks do, in fact, contain bull semen.
is the ingredient that has come under fire. Taurine is named after the Latin Taurus, which means bull. It was first isolated from ox bile in 1827 by Australian scientists Friedrich Tiedemann and Leopold Gmelon. It is often called an amino acid, even in scientific literature, but it lacks a carboxyl group it is not strictly an amino acid. Taurine is present in bulls livers, semen and urine. One thing is certain; the taurine used in energy drinks such as Red Bull is taken from these sources.
 


UNYWAJI wa mara kwa mara wa vinywaji vinavyoongeza nguvu mwilini ‘energy drinks’ unasababisha ini kushindwa kufanya kazi (acute hepatitis).

Kwa mujibu wa ripoti za magonjwa zilizochapishwa kwenye jarida la BMJ Case Reports Novemba Mosi mwaka huu, mwanamume mmoja mwenye umri wa miaka 50 amepata tatizo hilo baada ya kunywa ‘energy drinks’ mara kwa mara kwa muda wa wiki tatu.

Matatizo ya ini husababishwa na utumiaji wa dawa mara kwa mara pamoja na vidonge vya lishe hususani vya vitamin na wakati mwingine husababisha ini kufa kabisa.

Mwanamume huyo alimweleza daktari kuwa alikuwa anaumwa kwa wiki mbili akisumbuliwa na maumivu ya tumbo, kukosa hamu ya kula, kichefuchefu na kutapika.

Daktari aliyekuwa akimtibu aliandika katika jarida hilo kuwa awali mwanamume huyo alifikiri anaumwa mafua hadi aliposhtuka baada ya kuona anakojoa mkojo mweusi na ngozi ikiwa ya manjano.

Timu ya madaktari iliyokuwa ikiongozwa na Dk. Jennifer Harb, mtaalamu wa ngozi na magonjwa yake wa Chuo Kikuu cha Tiba cha Florida walifanya utafiti kuhusu uhusiano wa matatizo ya ini na unywaji wa vinywaji vya kuongeza nguvu.

Madaktari hao waligundua kuwa mwanamume huyo hakuwa amepata aina yoyote ya matibabu wala kunywa dawa ila alikiri kuwa amekuwa akinywa chupa nne hadi tano kwa siku za vinywaji hivyo kwa muda wa wiki tatu.

Wakati wa vipimo waligundua kwamba maumivu ya tumbo ya mtu huyo yalikuwa yanatoka karibu kabisa na ini.

Madaktari walifanya vipimo zaidi ikiwamo kupima damu na majimaji ya ini ndipo walipogundua kuwa ini lake limepata matatizo. Pia mtu huyo aligundulika kuwa na homa sugu ya ini (hepatitis C).

Iligundulika kuwa vinywaji alivyokunywa vilikuwa na wingi wa vitamin B3 vikiwa na miligramu 40 ikiwa ni zaidi ya miligramu 20 zinazoshauriwa kwa siku.

Kwa sababu alikuwa anakunywa chupa nne hadi tano kwa siku, madaktari hao wameandika alikuwa anakunywa 160 gm hadi 200 mg kwa siku.

Utafiti wa awali unaonyesha kuwa kula zaidi ya 500 mg za vitamin B3 kwa siku kunasabaisha sumu katika ini.

Madaktari hao wanasema kwa sabau alikuwa anakunywa kiasi cha 500 mg, atakuwa ameathirika kwa mlundikano wa vitamin hiyo kwa siku alizokuwa anakunywa vinywaji hivyo.

Kisa hicho kinafanana na kisa kilichoripotiwa katika jarida la ripoti za magonjwa la mwaka 2011 ambapo mwanamke mmoja aliripotiwa kupata matatizo ya ini baada ya kunywa vinywaji vya kuongeza nguvu kwa wiki mbili.

Iliripotiwa kuwa mwanamke huyo alikuwa anakunywa 300 mg za vitamin B3 kwa siku kwa kunywa vinywaji hivyo.

Madaktari hao wanasema kuna uwezekano kwamba vitu vingine vilivyopo kwenye vinywaji hivyo vilisababisha baadhi ya dalili licha ya kwamba hakuna taarifa za kutosha za kudhibitisha hilo.

Source: Mtanzania
 
Daaaaaaah! KWELI UTAFITI UMEKUWA KITU RAHISI SANA CKU HIZI...

Kwa hiyo kwa kuwa mwanaume mmoja tena mzee wa miaka hamsini kapata tatizo la ini, ndio utafiti wenu umekamilikia hapo? Huenda tatizo lake limesababishwa na uzee au chanzo kingine.
Embu mtuaje tuendelee kujimwaya mwaya. Mie kila siku nakunywa hizo na zinanisaidia kunifanya niwe active siku nzima...
Kama siku yangu ya kufa ikifika ntaondoka tu... Au we unataka uishi hapa Duniani milele?
 
Waungwana nimekua mnywaji Wa kupindukia Wa kinywaji aina ya energy.
Kwa mwenye kujua undani Wa kinywaji hiki naomba anipe elimu kidogo. Maana naskia ni Hatar kwa afya
Nitashukuru
 
Waungwana nimekua mnywaji Wa kupindukia Wa kinywaji aina ya energy.
Kwa mwenye kujua undani Wa kinywaji hiki naomba anipe elimu kidogo. Maana naskia ni Hatar kwa afya
Nitashukuru
Kwa hiyo aliye anzisha Thread hapo juu, hujamuelewa ama..!?
 
Waungwana nimekua mnywaji Wa kupindukia Wa kinywaji aina ya energy.
Kwa mwenye kujua undani Wa kinywaji hiki naomba anipe elimu kidogo. Maana naskia ni Hatar kwa afya
Nitashukuru
Hujamuelewa jamaa mwenye uzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…