Nimekusoma, and I agree. when the supply doesn't meet the expectation ni frustrations tupu... na instead of making a martyr of yourself in the n ame of Kids or God knows what, then kisiri siri unacheat, bora utoke tu na ukaanze maisha mapya when you are free to date again bila kuumiza mtu.Would not cheater but would think again whether the marriage is worth keeping.
Nimekusoma, and I agree. when the supply doesn't meet the expectation ni frustrations tupu... na instead of making a martyr of yourself in the n ame of Kids or God knows what, then kisiri siri unacheat, bora utoke tu na ukaanze maisha mapya when you are free to date again bila kuumiza mtu.
Dont reserve it; tunahitaji mtazamo wako. However I agree I can't be 100% correct.
Lizzy wanawake wanatofautiana kutokana na personality. Kuna watu wanadhani kutakwa na kutembea na wanaume wengi ni kipimo cha kuwa bado wana mvuto. Hao ndio low self-esteem women.
Kuna dada nilimsikia anamjibu jamaa alomwambia you are so beautiful; alimpa dry " I started hearing that since I was 6 years old". Mwingine akiambiwa wewe mzuri basi anaanza kuangaika kwa mawazo; mbona mume wangu anambii mimi mzuri; basi anavua sketi. lol.
nk huoni kwamba ni busara pia pamoja na kulaumu hawa wanawake wanaocheat ifike mahali wapewe muongozo on steps za kufuata kudai hiyo talaka inawezekana kabisa wengi wao wanakosa muongozo ya nini cha kufanya and bad enough wale wanaokuzunguka wengi awe aunt,uncle mum ,dad wengi wanaishia kukuambia vumilia na mwanamke wa jamii yetu aliyeachika na watoto watu wanamchukuliaje especial hao hao wanaume .............kuna mambo mengi nyuma ya hili sio kwamba najaribu kutetea cheating lakini naamini majority ya wanawake sio wote wanaofanya hivo sio kwamba wanafurahia wanalofanya ila mtihani unakuwa kwenye kuvunja hiyo ndoa......................
NK....pamoja na low self-esteem kwanini wasihamie kabisa huko wanakoonekana bado wanalipa/wana maana???
Ya nini kuendelea kunyanyisika nyumbani na kupata sifa nje???Wafanye huko wanapopata sifa ndio kuwe nyumbani ili self-esteem yao ikiinuliwa idumu badala ya kupandishwa kwa lisaa na kushushwa kwa masaa.
Kushauri process ya ku divorce ni nje ya uwezo wangu na sijawahi wala sitawahi kufanya. Huu uzi una umuhimu hata kwa cheaters na ukisoma between lines hauna lengo la kuwalaumu cheaters ila una lengo la kuwafanya wajitambue na wajiulize mara mbili why are they cheating?. Cheater akishaanza kujiuliza sababu za cheating (hasa mwanamke) am sure atagundua ni upuuzi mtupu na ataacha.
nk huoni kwamba ni busara pia pamoja na kulaumu hawa wanawake wanaocheat ifike mahali wapewe muongozo on steps za kufuata kudai hiyo talaka inawezekana kabisa wengi wao wanakosa muongozo ya nini cha kufanya and bad enough wale wanaokuzunguka wengi awe aunt,uncle mum ,dad wengi wanaishia kukuambia vumilia na mwanamke wa jamii yetu aliyeachika na watoto watu wanamchukuliaje especial hao hao wanaume .............kuna mambo mengi nyuma ya hili sio kwamba najaribu kutetea cheating lakini naamini majority ya wanawake sio wote wanaofanya hivo sio kwamba wanafurahia wanalofanya ila mtihani unakuwa kwenye kuvunja hiyo ndoa......................
Si mpaka huyo anayechiti nae akubali kumpokea. Utakuta mostly wanachiti na waume za watu au masharobaro ambao hawana mbele wala nyuma na wanajua fika kule pembeni ni mpango wa kando no commitment.
Visingizio tu....
Kama hayo yote yanatokea mpaka wanajikuta mioyo/akili zao zinawapeleka kwingine si waombe talaka kabisa???
Ni ujinga kukaa na kulalamika alifanya hivi/akawa vile/akasema hiki ndio na mimi nikaona nitoke nje.Si uhame kabisa!!!
Sidhani.
Tumejifunza hapa kuwa cheating huimarisha uhusiano. Hapo juu Story ya Vanessa Myers (28) inaonyesha kuwa alimfumania mumewe, baadae naye akapata kipoozeo akakitumia hadi alipofumaniwa. Baada ya hapo wakaongelea mambo yao na wakapatana na kuendela na maisha.
Ndio kusema ukimfumania mwenzio akicheat na we ucheat?

Kwenye red unauliza au unasema???
Maana maelezo yako ya juu yanajibu swali lako kwamba ndio....mmoja akicheat na mwenzake afanye hivyo ili waimarishe uhusiano.
Well kwa mtazamo huo basi cheating is good and we should all do it....
Alafu kwa huyo dada kama unadhani ilikua sahihi yeye kucheat kwasababu mwishoni wamarudiana je siku nyingine yakitokea matatizo acheat tena kupata utatuzi??
Imebidi nisome tena huyo mama wa kwanza.
Naona hakuna fundisho lolote; yani mwanamke awe anachiti kutafuta mwanamume wa kumuoa baada ya divorce. Si mpaka umpate; Sana sana utaambulia magonjwa; ni wangapi wanaotembea na wake za watu wana mawazo ya kuwaoa???
Wengi tu hua wanaishia kudanganywa wakati bado wako kwenye ndoa zao nakupenda nyingi..achana na jamaa haziishi alafu wakiachika/acha anashangaa mwanaume hana muda nae tena hata kama alikua single tangu mwanzo. Ni wachache sana wenye ujasiri wa kumchukua mwanamke aliyecheat nae na kumfanya mke kwa sababu uwezekano wa yeye nao kua cheated ni mkubwa.
Na logic ni simple Lizzy; kama amemchiti mumewe wa kwanza kwako wewe una nini au ni nani usichitiwe. In short hao wanaume wanatembea na wake za watu huku kichwani mwao wanaweza kuwa wanawananga (wanawabeza)